Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

ukiangalia na kutafakari kwa kina namna Lissu alivyoondoka nchini baada ya uchaguzi utajua kabisa kwamba Tanzania ni salama tu kwa waimba mapambio kama sisi.
 
Maamuzi magumu sana lakini yeye pekee ndie anayejua kwa nini kafikia hapo. Huenda kweli alitishiwa uhai wake.
 

Labda kama wewe humjui Lema, Lema ni mtu mjinga na asie na maarifa ya kimaisha. Kiufupi Lema ni mkora and he has become desparate after loosing the seat. Hakujua nini afanye to combat life taking into consideration that watoto wanasoma shule za ghali na maisha yake kwa ujumla. Na ameona kabisa kwas siasa za Arusha kuja kumtoa Gambo labda ni baada y miaka 15. Sina sida na usanii alifanya mpaka kupata Political Asylum ila napata shida na sumu aliyopanda kwa watoto kwamba wao niwa kimbizi wa kisiasa mpaka wao kupoteza identity yao. Lema si mkimbizi wa kisiasa yeye kaosa tu Ubunge. Tundu Lissu mwenyewe siyo mkimbizi wa kisiasa
 
Ninapata shida sana kuelewa ulichoandika unachomaanisha, najiuliza lini Lema aliwahi kushiriki kuuza madini ya Tanzania kwa Canada?




WAPINZANI WASAINI MIKATABA NA KUWAUZIA MADINI CANADA, alisikikika msomi mmoja wa Tanzania akiandika hapa JF
Mkuu,

Wewe hujitambui na huelewi lolote na hutakuja kuelewa kilichoandikwa na critical thinker kuhusiani na suala la madini

Kwaulize Accacia, Barrick, North Mara na Simanjiro utajua uhusika wake kwa hujuma kwa nchi yake.

After all hana sifa ya kuitwa mkimbizi wa kisiasa kwa kuwa hakuna mazingira yanayokubaliki kupata hadhi hiyo. Ukiona mtu kakubaliwa na Kanada au nchi nyingine yoyote kuishi huko kwa hadhi ujue ni uthibitisho tosha kwamba alikuwa wakala kupitia siasa. Siasa ndio hubadili mifumo ya mienendo ya maisha hapa duniani ama iwe njema au mibaya chanzo chake ni siasa kupitia kwa watu wenye matamanio ya kutawakla sio kuongoza. Wewe hapo you are just a mouth piece to test the implication of the statement which in reality it doesn't inflict any pinch to feel it for the worse.
 
Mkuu hiyo mikataba waliweka saini CHADEMA?
Mkuu I would wish to table my case to challenge the president elect and NEC.Is it practical in Tanzania?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapenda kitonga bana, fanya kazi dogo...au pambana na wewe ukawe mbunge wa upinzani..mkishindwa uchaguzi ukaombe hifadhi nchi za nje. Simple tu
Kwani huko Canada maisha ndio Kitonga? Kule maisha ni magumu pia ila ya uhakika, na kikubwa ni elimu bora kwa watoto wake. Watoto wake wakimaliza masomo huko Canada wanaweza kurudi hapa nchini na kupata ajira popote, narudia tena, kupata ajira popote hata kama kutakuwa na uhaba wa ajira. Hata wasipopata serekalini, bado wanaweza kupata kwenye kampuni binafsi zinazohitajika watu wanaofahamu kiingereza kwa ufasaha, na kwa vyovyote vile zitakuwa ni kazi za kipato kikubwa. Hutaweza kufananisha na hawa watoto wa wazalendo uchwara wanaomaliza vyuo vikuu wasioweza kuongea kiingereza hata kwa nusu saa mfululizo.
 
Mkuu hivi nani walitaka kumuua Lissu?
Mkuu hivi waliomuua Mawazo walikamatwa?
Mkuu ,hivi waliopoteza maisha huko Zanzibar wahusika wamekamatwa?
 
Pumzika Mh. Lema kwa watu waliostraabika, sisi huku wacha tuendeee kuimba mapambio mwanzo mwisho - ndiyo existence yetu kwa sasa hatuna option.
 
Mkuu hiyo mikataba waliweka saini CHADEMA?
Mkuu I would wish to table my case to challenge the president elect and NEC.Is it practical in Tanzania?
Mkuu,

I never knew you are Chadema addict and by the way nobody mentioned such a party

You do not have the room to challenge the president elect; however, seemingly you are mischief you attempt your inadvertent space.
 
Kawaambie mafala wa huko vijijini maana ndio wasiojua lolote. Hakuna mkataba wowote wa madini ambao Lema amewahi hata kuuona kwa macho, labda ukatafute mazoba ndio uwaambie huu utoto.

Lema anastahili ukimbizi wa kisiasa maana mazingira ya ukatili na uhayawani dhidi ya wapinzani yako wazi, na wala sio ya kutafuta. Unaweza kuweka uzalendo uchwara wako lakini ukweli wote uko wazi, japo watu wanaogopa kuongea ukweli wasije kupoteza maisha yao.
 
Hivi atakuwa anapewa kila kitu bure au kuna namna atawezeshwa aweze kupiga Moshe zake halafu Lema anapenda sana Moshe za forex & cryptocurreny naona huko ndio ameenda sehemu sahihi
atafanya kazi na kuwa na kipato cha uhakika.
 
Walitaka kummiminia kama za Lisu. Amewawahi. Nenda salama kamanda.
 
Ni watanzania wangapi? Wanaishi Canada au kwakuwa Ni mwanasiasa ndo mnachonga ssna
 
Mkuu,

I never knew you are Chadema addict and by the way nobody mentioned such a party

You do not have the room to challenge the president elect; however, seemingly you are mischief you attempt your inadvertent space.

Nyie ndio wahafidhina wa mifumo outdated, ndio maana unaleta hoja za utetezi wa kipuuzi, huku watu wakichukua nia sahihi kwa mustakabali wa maisha yao. Nampongeza Lema kupata ukimbizi wa kisiasa ili akapate maisha bora.

Wakati mnajikongoja kujenga flyover na bwawa la umeme, yeye ataishi kwenye flyover kila panapostahili, huko ataishi mahali umeme usipokatika. Watoto wake watapata elimu bora. Nyie kaeni vikao vya kutaka kutoa uhai wa kila asiyekubali kuwa kondoo. Endelea kuongoza vikao vya wizi wa kura, huku wanaume wakitumia hizo tabia zenu za kihuni, kupata fursa ya kwenda kwenye nchi bora.
 
Mkuu,

I never knew you are Chadema addict and by the way nobody mentioned such a party

You do not have the room to challenge the president elect; however, seemingly you are mischief you attempt your inadvertent space.
Do you mean the president is( premier president) and has a divine right.
Uncontrolled president... Aaah
Okay can you give the premises under why the president elect should not be challenged?
I mentioned CHADEMA following what you have expressed. Lastly, let Lema be free bcoz it is unlawful decision
 
Hakuna sababu yeyote kwa mtu yeyote kwa sasa kuomba hifadhi ya kisiasa kwenye nchi yeyote duniani Beatrice.Nchi yetu ni salama kabisa,unless you have your own problems.Wanaomba hifadhi nje wanampango mpana wa kutumiwa na nchi wanakoenda kui-destabilize nchi yetu kwa maslahi mapana ya mabeberu.
 
Kwa taarifa yako ni bora kuishi utumwani huko Canada kuliko kuwa hata waziri hapa nchini. Ni vile tu hakuna uwezekano wa sisi wote kwenda huko. Ingewezekana leo hii mngebaki nyie mlio na raha na hapa.
 
Kama anahudumiwa kila kitu maana yake maisha yatakuwa marahisi kwake, na hilo ndilo lengo lake haswa.
Mbowe yupo katulia hakuna aliyemtishia kuuwawa aje atishiwe Lema muhuni tu hana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…