Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Huko alikoenda hatapata kazi yo yote kwani hata elimu ya maana hana. Ataishi maisha ya jobless community ambayo huwa inapewa posho tu ya kujikimu kila wiki. Ni ya kununua chakula tu na malazi ya kiwango chini kuishi nchini Canada. Dr Slaa kwa kiwango chake cha elimu (PhD) angalao aliweza kupata kazi kwenye duka moja la super market. Hata hivyo hakuweza ku serve pesa yo yote ya maana inayoweza kujenga hata kibanda cha kuku nchini Tanzania.
Akili zenu zinahitaji mindset. Kufikiri kwamba mtu kuishi ulaya au amerika ndiyo anazowa mapessa ya kutakata hata kama hana kazi wala elimu ya maana ni uhawayani uliovuka kiwango!
Bora ukaishi jobless huko Canada kuliko kuwa waziri kondoo hapa nchini.