Pre GE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mawazo yangu,huyu wakili wa serikali anapotosha umma,kesi hailengi kusitisha zoezi la uchaguzi wa November 2024,inalenga kuzuia TAMISEMI kuratibu na kusimamia uchaguzi husika,kuwa jukumu ilo kwa sheria mpya ya tume huru ya uchaguzi ya mwaka 2024 ilo ni jukumu la tume ya huru ya uchaguzi pekee.
Wewe ndo uwe Tff,uwe refa na uwe mchezaji halafu kuwa na fairness kwa timu pinzani!?

Kitu nnachokiamini ni kuwa CCM wenyewe wanajua kuwa katika mizania ya usawa hawawezi kushinda zaidi ya nusu ya viti vinavyokuwa vinagombewa.
 
Zitto Kabwe alishawaambia kuwa mpiganie mpate tume huru kwanza badala ya katiba mkakataa na kumtukana sana. Sasa hivi bado miezi kadhaa tuingie kwenye uchaguzi ndo CHADEMA mnaamka na kutaka tume huru. Hiki chama cha wachaga kimejaa wajinga mno kwa sasa.
 

Kumbuka CCM napo kuna Wachagga. Akina Kimei, Ndakidemi, Saa Shisha, Mkenda, n.k. ni Wachagga na hawapo CHADEMA bali ni wanachama wa CCM.

Tumia akili!
 
CCM wenyewe wanajua kuwa katika mizania ya

Kweli kabisa hawataki kubadilisha katiba au kuweka viraka vya ziada ktk katiba kwa kuwa ndiyo kisingizio kinatumika kuwa hili suala ni la kikatiba na hivyo Mahakama zetu zinafungwa mikono na kupelekea hukumu kuwa suala hili ni kwa ajili ya Bunge la chama kimoja kutatua mkwamo huu wa kikatiba.
 

Katiba kupitia Bunge la chama kimoja CCM, maana ndiyo mamlaka ya bunge kutunga sheria. Je Bunge hili la CCM lipo tayari kujitundika kitanzi yenyewe kwa mustakhabali mpana wa nchi, au litataka kuendelea na katiba ya 1977 ambayo wakili msomi Fatma ameiita ni Katiba ya Uchu (1977) wa Madaraka CCM ibaki madarakani.
 
Mahakama wakishaambiwa waamue kutokana na Mwenendo wa serikali.....sasa kwa mwenendo ule aliovujishe DC wa Longido ni wazi Mahakama itazuia hawa watu wasishiriki usimamizi.
 
Bunge lenyewe liko wapi? Kile kikao cha makada wa Tulia?
 
Hakuna jaji hapa ni makanjanja tu yako na majoho mekundu!
 
Punguza kupiga nyeto bro
 
Nyie CHADEMA mngejitia kitanzi? Katiba ya chama tu mlishindwa kuitiaa na kuibadili ili Mbowe awe mwenyekiti wa maisha sasa hii ya nchi si ndo itakuwa balaa?
 
CCM haiwezi kutoka madarakani mpaka pale watanzania watakapomwaga damu. Hakuna wa kuitoa CCM kwa sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…