Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Waziri wake ni Rais au Mkwe?Ipo chini ya Ofisi ya Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wake ni Rais au Mkwe?Ipo chini ya Ofisi ya Rais
Umesikia hoja za mapingamizi ya serikali kuhusu kesi hii :
Msikilize wakili kutoka Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali hoja zake kwanini serikali inataka TAMISEMI iendelee kuwa msimamizi wa uchaguzi 2024
- Kesi ni ya kikatiba haiwezi kuamuliwa na Mahakama, maana yake ni bunge la chama kimoja libadilishe katiba
- Waliotuma maombi *(Waliofungua kesi ) Bob Wangwe na wenzie 3 watawanyima nafasi mamilioni ya watanzania wasipige kura November 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=X-Qk-eBMyxs
Ni Rais.Waziri wake ni Rais au Mkwe?
Zitto Kabwe alishawaambia kuwa mpiganie mpate tume huru kwanza badala ya katiba mkakataa na kumtukana sana. Sasa hivi bado miezi kadhaa tuingie kwenye uchaguzi ndo CHADEMA mnaamka na kutaka tume huru. Hiki chama cha wachaga kimejaa wajinga mno kwa sasa.
SawaNi Rais.
Wizara yeyote iliyo chini ya Ofisi ya Rais, Waziri ni Rais.
Hali kadhalika, Wizara zilizo zilizo Ofisi ya Waziri Mkuu ndiye Waziri.
ndio serikali sikivu ya CCM hiyo, alaa🐒Yes CCM na mahakama ni kitu kimoja
Jifunze kuandika kwa usahihi lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Ungekuwa mpishi
Poa sisterndio serikali sikivu ya CCM hiyo, alaa🐒
CCM wenyewe wanajua kuwa katika mizania ya
katiba
sawa mama ImaPoa sister

Mahakama wakishaambiwa waamue kutokana na Mwenendo wa serikali.....sasa kwa mwenendo ule aliovujishe DC wa Longido ni wazi Mahakama itazuia hawa watu wasishiriki usimamizi.Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Bunge lenyewe liko wapi? Kile kikao cha makada wa Tulia?Katiba kupitia Bunge la chama kimoja CCM, maana ndiyo mamlaka ya bunge kutunga sheria. Je Bunge hili la CCM lipo tayari kujitundika kitanzi yenyewe kwa mustakhabali mpana wa nchi, au litataka kuendelea na katiba ya 1977 ambayo wakili msomi Fatma ameiita ni Katiba ya Uchu (1977) wa Madaraka CCM ibaki madarakani.
Hahaha.....kuna nini?Hatuna mahakama mkuu
Muda ni Mwalimu
Hakuna jaji hapa ni makanjanja tu yako na majoho mekundu!Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Punguza kupiga nyeto broTunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Nyie CHADEMA mngejitia kitanzi? Katiba ya chama tu mlishindwa kuitiaa na kuibadili ili Mbowe awe mwenyekiti wa maisha sasa hii ya nchi si ndo itakuwa balaa?Katiba kupitia Bunge la chama kimoja CCM, maana ndiyo mamlaka ya bunge kutunga sheria. Je Bunge hili la CCM lipo tayari kujitundika kitanzi yenyewe kwa mustakhabali mpana wa nchi, au litataka kuendelea na katiba ya 1977 ambayo wakili msomi Fatma ameiita ni Katiba ya Uchu (1977) wa Madaraka CCM ibaki madarakani.