Kwani hawo waliotumwa kuwawakilisha wao hawaogopi kufa au wao ni mbuzi wa kafara?Afya ya EAC na afya zao ni kipi muhimu? Unafikiria ni wajinga kama Magufuli aliyepuuza corona mpaka ikamuua? Hebu wacheni utani kwenye mambo ya maana tena yanahusu uhai.
Kweli kabisa aisee. Na malipo ni hapa hapa duniani.Ukiusikiliza wimbo wa super matimila,Remmy ongala alishawahi kuimba,"ukiwa mtenda mabaya unapokwenda pia ni papaya na ukiwa na roho mbaya ee kweli watakuogopa...."ngoja nishie hivyo ni vzr ukausikiliza mwenyewe.
Duh mzee Museveni haruki anaogopa Corona kuliko Simba!!!Amen. Umewaza kama mimi mkuu. Wanasubiri kwenda kumzika swahiba/rafiki nyumbani kwao. Huko ndio kushibana.
Ratiba yao haipo Chattle mkuu. Viongozi wote wa nchi wamealikwa Dodoma. Kwanini wao waende Chattle kupitia mlango wa nyuma? Mimi nadhani uoga wao unawaambia waje baada ya maziko. Wanateseka bure.....kamwe huwezi kukikimbia kifo.....kitakujia huko huko uliko na sio lazima mtu afe kwa korona; anaweza kufa hata kwa kansa, malaria, maradhi ya moyo, etc (JPM, 2021).Likely wakaenda kuzika Chato.
Museveni haruki tena Tanzania ebow anaogopa hii kitu kupita maelezo!Ratiba yao haipo Chattle mkuu. Viongozi wote wa nchi wamealikwa Dodoma. Kwanini wao waende Chattle kupitia mlango wa nyuma? Mimi nadhani uoga wao unawaambia waje baada ya maziko. Wanateseka bure.....kamwe huwezi kukikimbia kifo.....kitakujia huko huko uliko na sio lazima mtu afe kwa korona; anaweza kufa hata kwa kansa, malaria, maradhi ya moyo, etc (JPM, 2021).
Hivi alipokufa Mugabe(Member mwenzetu wa SADC) Magu alienda au alituma Mwakilishi.?Risks outweigh rewards!! Tungekuwa tunafanya hesabu hizi angalau tungevaa barakoa!! Plus hatujui afya zao, huenda wana vitu nyemelezi.
Wamewakilishwa kama ambavo hata sisi tuliwakilishwa huko kwingine.
Hivi aliopokua boss kule wizara ya ujenzi akawa anabomoa bomoa kibabe,kule kwny uvuvi akatumia ubabe kukamata meli ya wachina na tunadaiwa mabilioni as fidia alikua anamuiga nani?Bora tu hawakuja maana wamechangia sana kumharibu mzee wetu enzi za utawala wake. Aliiga upuuzi wao na kuigeuza nchi yetu kuwa ya kidikteta, tofauti kabisa na utaratibu tulio jiwekea kama Taifa..
Nadhani alikwenda mkuu. Au inawezekana hakwenda kwa sababu ya kukosa nauli ya ndege. Sasa Museveni na Kagame nini kimewakwamisha kuja wakati wangeweza kuja hata kwa usafiri wa basi?Hivi Mugabe alipokufa Mugabe(Member mwenzetu wa SADC) Magu alienda au alituma Mwakilishi.?
Kwa akili yako unahisi vifaranga ni sawa na roho ya mtu ?Yule ni political matuared......
sio kama Lissu
Pia Museveni amekuwa mara kwa mara akiitembelea Tanzania na amesikika mara nyingi akiufagilia utawala wa hayati Magufuli
Wale ni watu wazima wanaogopa mikusanyiko ambayo haina ulazima
Nani namuona Lowasa kwenye msibaWakenya ni ndugu zetu wa karibu. Hao wengine wana jamii ya uTutsi
Kajifunze kuandika kwanza, pimbi wwKwa akili yako unahisi vifaranga ni sawa na roho ya mtu ?
Maana Lissu walitaka kumtoa roho