kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .
Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.
Nape nnauye na januari waachie ngazi mara moja maana wanachofanya ni kumpiga vijembe jpm tu fedha wizara zao zinaondoka tu bila stakabadhi.