Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
- Thread starter
-
- #41
umeona sasa apa ndipo ugumu unapokujam nafkir kuoa sio tatizo,tatizo unaoa nani?
Vijana ndoa sio sehem ya kufanyia trials (Majarbio) japo sio busara kuchelewa kuoa lkn kwa upande mwngne maisha ya usingle yana amani yake!
Hii sasa Atari ataendelea kupata kesi za watoto nje😂Anaogopa usije ulawa papai kutokana na ugumu wa maisha..
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wajukuu Yuko nao wakutosha😂Et wanatakaga waone wajukuu mapema
Asante chief kwa ushauri maana changamoto tunakutana nazo sisi na sio waoKwa maelezo yako inaonekana kweli Mzazi wako anakosea, wewe bado akili ya kuwa baba wa familia bado, asubiri ukue, auache muda uamue itasaidia.
Mnishauri Ivo Ivo tuUmefungua thd ili tukushauri kuoa au kutokuoa,
Ina maana utatusikiliza sisi zaidi kuliko Mama yako mzazi?
Mama yako mzazi anakujua toka unazaliwa mpaka makuzi yako,na ndiye anakushauri uoe,sasa sisi ambao hata hatukujui zaidi ya fake ID yako ndio tukushauri?
We umeoa😂Oeni mafala nyie🤣
Asante chief 😂Usifanye maamuzi kwa sababu ya ushauri, tafakari kwanza kisha uchukue hatua stahiki
Kifuatacho unabaka ata mgomba mzungu kisharahisisha mmboNyeto nying anakuhurumia usije kubaka bure
Nnae mmoja Leejay49 na soon tunapata na wajomba zenuWe umeoa😂
Oa shenzi wewe kama mama anavosemaAaaah kumbe bc mimi wajomba zako wapo mbn🤣🤣
Wewe mbona mapadri na maaskofu wenu wa kikatoliki hamuwaozi? Wanalemaa mpaka wanaoza wao.Ndio msingi wa dunia, ilikuwa hivyo, na iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo, lazima kizazi kiendelee, ujio wako dunia usiishie kutumalizia hewa, chakula na raslimali kisha ufe bila kutuachia kizazi.
Wangu wawili kila mtoto na mama yake wengine wa ndugu sasa kuna nini kimebaki apoUmewazaa wewe?
KachekaWe umeolewa labda naweza kuokota dodo chini ya mwembe😂