Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

m nafkir kuoa sio tatizo,tatizo unaoa nani?


Vijana ndoa sio sehem ya kufanyia trials (Majarbio) japo sio busara kuchelewa kuoa lkn kwa upande mwngne maisha ya usingle yana amani yake!
umeona sasa apa ndipo ugumu unapokuja
 
Umefungua thd ili tukushauri kuoa au kutokuoa,
Ina maana utatusikiliza sisi zaidi kuliko Mama yako mzazi?

Mama yako mzazi anakujua toka unazaliwa mpaka makuzi yako,na ndiye anakushauri uoe,sasa sisi ambao hata hatukujui zaidi ya fake ID yako ndio tukushauri?
 
Kwa maelezo yako inaonekana kweli Mzazi wako anakosea, wewe bado akili ya kuwa baba wa familia bado, asubiri ukue, auache muda uamue itasaidia.
Asante chief kwa ushauri maana changamoto tunakutana nazo sisi na sio wao
 
Sasa Kama hufuati ushauri wa mama yako mzazi sisi tukikushauri utatuamini Kweli?

Anyways,akili za kuambiwa changanya na za kwako.Usikurupuke, kaa chini utulize akili ikiwezekana mhusishe mama yako Kisha ufanya uamuzi wenye busara.

Follow your heart BT always remember to Carry your brains with you.
 
Ndio msingi wa dunia, ilikuwa hivyo, na iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo, lazima kizazi kiendelee, ujio wako dunia usiishie kutumalizia hewa, chakula na raslimali kisha ufe bila kutuachia kizazi.
Wewe mbona mapadri na maaskofu wenu wa kikatoliki hamuwaozi? Wanalemaa mpaka wanaoza wao.

Ndiyo maana yale mambo ya kuharibu watoto huko yamezidi.
 
Back
Top Bottom