Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

Wewe kama unajitegemea, una kipato chako, haumtegemei mtu, pesa yako,
Maamuzi ya jinsi ya kuishi maisha yako, yapo mikononi mwako,ukilazimishwa kufanya kitu na wewe ukalazimika,! Ukipata shida ni juu yako,
 
Nguvu zangu zipo mikononi mwangu na uwezo wa kufikiri zaidi juu ya nini nikifanye hivyo chief ondoa hofu katk hilo
 
Kumbe tupo wengi.Me wamelazimisha mpaka wamechoka.

Zama hizi kuoa/kuolewa ni hatari sana,ni kifo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Haki nimejikuta kutoa sauti nikicheka sasa inabidi kuweka kipaza sauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ