Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano.

Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo lakini amekua akiharakisha suala la kuoa.

Tena nami nishajua Raha ya kuwa single ndio kabisa sasa naomba msaada wenu ktk hili Mimi kama mtoto nifanye maamzi au ndio niendelee kutulia zaidi ndani ya usimbe maana naogopa hata kupiga sim kuhofia hayo maneno na akianza kuongea Bi Mkubwa lazima usepe mbali kumpisha[emoji2788]
Wewe kama unajitegemea, una kipato chako, haumtegemei mtu, pesa yako,
Maamuzi ya jinsi ya kuishi maisha yako, yapo mikononi mwako,ukilazimishwa kufanya kitu na wewe ukalazimika,! Ukipata shida ni juu yako,
 
Nguvu zangu zipo mikononi mwangu na uwezo wa kufikiri zaidi juu ya nini nikifanye hivyo chief ondoa hofu katk hilo
 
Kumbe tupo wengi.Me wamelazimisha mpaka wamechoka.

Zama hizi kuoa/kuolewa ni hatari sana,ni kifo
😂😂😂😂😂😂Haki nimejikuta kutoa sauti nikicheka sasa inabidi kuweka kipaza sauti kabisa
 
Back
Top Bottom