Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Adili...Hili ni kosa kwa kuwa serikari haina dini.
Hakuna serikali duniani isiyo na dini.
Ukitaka kujua dini ya serikali yoyote duniani angalia viongozi wake wengi wanaoongoza na kushika nafasi za maamuzi ni wafuasi wa dini gani?
Ukiwaona wafuasi wa dini fulani ndiyo waliohodhi madaraka basi hiyo ndiyo dini y serikali.