JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Dini yake ndio inaruhusu kushikana na mwanaume asiye mumewe kama kwenye zile picha za "royo tua"?Ni sahihi ameheshimu dini yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini yake ndio inaruhusu kushikana na mwanaume asiye mumewe kama kwenye zile picha za "royo tua"?Ni sahihi ameheshimu dini yake.
Serikali na ifanye kazi jumapili kukwepa udini...Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
tatizo nguruwe wanafugwa kichafu chafu sana, inatakiwa wakafugwe porini huko.Yeye ataheshimu dini yako inayoruhusu kula kiti Moto. Wanawaua nguruwe ukifuga karibu nao hata Kama wamekukuta unafuga wao wakiwa wageni
Huna ukristo wowote unachuki za kikabila tu bwege wewe!Mimi siipendi hii Dini ya Majini ila Raisi alikuwa sahihi.
Ile mikelele ya maspika hata angeongea vipi asinge sikika.
Ni bora alivyonyamaza.
Raisi samia ana Hekima nyingi sana.
Mimi pamoja na Ukristo wangu lialia nampenda sana Samia kuliko lile Jambazi la kisukuma.
Lile liuaji na Liibaji na Libakaji.
Ile ilikuwa 'acting' tuDini yake ndio inaruhusu kushikana na mwanaume asiye mumewe kama kwenye zile picha za "royo tua"?
Makala ndefu namna hiyo eti sababu ya Rais kukaa kimya kwa dakika 3 kupisha adhana !! Kumbe bado tupo nyuma sana !! Kama bado wapo watu wanafikiria vitu vidogo vidogo namna hii kwakweli tutaburuzwa sana mpaka tutie akili !! Kwani Rais Kenyatta aliposimamisha hotuba yake hapohapo Dodoma kupisha adhana kwa hizohizo dakika alikuwa ni wa dini gani ? Maana wewe upo kidini zaidi ! Andika thread zinazohusu matatizo muhimu yaliyopo nchini achana na haya mambo ya ajabu ajabu , huko tulishaondoka miaka mingi sana !! Sasa hivi tunasumbuliwa na maisha magumu, kupanda bei vitu vingi, bila kusahau PANYA ROAD !!Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
Tuzungumzie habari za kupanda bei vitu na Hao Panya Road wanaotaka kuleta balaa katika jiji LA Dar hayo mambo ya adhana au kuhutubia kanisani hayatusaidii kitu !! Tunafanyaje kukomesha Panya Rodi ??? Ndio swali kuu kwa sasa !!Ulishawahi kulaumu pale Magufuli alipokuwa analihutubia kanisa akiwa kanisani? Ulishawahi kujiuliza hilo litaathiri nchi?
Kikubwa zaidi acha ubaguzi wa kidini jambo hilo halitakusaidia wewe na taifa pia.
Nilikuwa sina dini na si lazima niwe na dini. Wewe umeona wapi jina la Masanja likiwa na dini?Tardy...
Hayo usemayo yana kitu kimoja ambacho ni makhsusi.
Imethibitika kuwa ukiona mtu anashambulia Uislam na atajifanya na kuushambulia Ukristo pia kwa kauli za dini zilizoletwa na Waarabu na Wazungu wote huwa ikiwa wamekana dini basi zamani walikuwa Wakristo.
Hata hapo walipokuwa Wakristo walikuwa na chuki na Uislam.
Chuki hii huwa wanahamanayo kwenye dini yao mpya hiyo ya kujifaya si Muislam wala Mkristo.
Ningependa sana kujua zamani kabla ya kuhamia hiyo dini yako mpya ulikuwa muumini wa dini gani?
Nina hakika kabisa hukuwa Muislam.
Maneno yako hayo hayanishangazi.
Hili ni kosa kwa kuwa serikari haina dini.Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Brain GenocideMtu kama huyu akiambiwa Yesu alikuwa Mwafrika ataandamana.
Kwakuwa tayari kapata Brain Genocide.
Mbona hilo kaiga toka kwa Rais Mkristo ambaye ni Kenyatta na alilifanya hilo hapo hapo Dodoma mwaka jana? wewe utakuwa na chuki binafsiLeo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
JingaLeo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
FM...Nilikuwa sina dini na si lazima niwe na dini. Wewe umeona wapi jina la Masanja likiwa na dini?