Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Tutembee kifua mbere sisi ni Matajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya uwepo wa hizi spika ilikuwaje sijui?Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
Wapi hii mkuu? Mbona nchi nzima kitimoto kinafugwa hatujasikia kuuawa?Yeye ataheshimu dini yako inayoruhusu kula kiti Moto. Wanawaua nguruwe ukifuga karibu nao hata Kama wamekukuta unafuga wao wakiwa wageni
Kaiga kwa kenyataLeo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
Pole sana kafiri!!!Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
Sasa ulitaka aongeze sauti au?Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
Na huyu ndo kawafundisha kunyamaza adhana ikitoka, mwanzo walikuwa wanapuyanga tuImekaa hivyo hivyo nafikiri Kenyatta aliwahi kufanya hivyo pia
Sijaelewa tatizo liko wapi kwa hilo.Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.
Yeye ataheshimu dini yako inayoruhusu kula kiti Moto. Wanawaua nguruwe ukifuga karibu nao hata Kama wamekukuta unafuga wao wakiwa wageni
Tardy...Makanisa na misikiti ziheshimu privacy za watu. Si jambo la busara unasali wewe unawapigia kelele wengine. Sisi wengine hatuna na wala hatuamini kwa hayo mliyoletewa na wazungu na waarabu. Ebu acheni mambo ya udini hayo, hayatusaidi katika maisha yetu, kama unasali, omba kwa Mungu wako katika sehemu za usiri na zisizo na kelele. Hiyo adhana ya kuitana kwenda kusali au kupiga kengele kwa makanisa ni suala lililopitwa na muda, kwani ukiambiwa sala au swala inaanza saa sita huna saa hadi uitwe na muadhana? au ukijua misa au ibada inaanza saa nne, saa sita na saa nane, huwezi ku-keep time usichelewe swala/sala? Mbona kwenye mabaa na mkisafiri mnawahi sana, sasa leo mnaona shida kuwahi kwenye ibada. Huo mnaosema ni ujinga tena mkubwa na inaonyesha ni primitiveness. Acheni kujipendekeza kwa cheap popularity.
Makanisa na misikiti ziheshimu privacy za watu. Si jambo la busara unasali wewe unawapigia kelele wengine. Sisi wengine hatuna na wala hatuamini kwa hayo mliyoletewa na wazungu na waarabu. Ebu acheni mambo ya udini hayo, hayatusaidi katika maisha yetu, kama unasali, omba kwa Mungu wako katika sehemu za usiri na zisizo na kelele. Hiyo adhana ya kuitana kwenda kusali au kupiga kengele kwa makanisa ni suala lililopitwa na muda, kwani ukiambiwa sala au swala inaanza saa sita huna saa hadi uitwe na muadhana? au ukijua misa au ibada inaanza saa nne, saa sita na saa nane, huwezi ku-keep time usichelewe swala/sala? Mbona kwenye mabaa na mkisafiri mnawahi sana, sasa leo mnaona shida kuwahi kwenye ibada. Huo mnaosema ni ujinga tena mkubwa na inaonyesha ni primitiveness. Acheni kujipendekeza kwa cheap popularity.