bush striker
Senior Member
- Feb 16, 2019
- 102
- 249
Naona hata Uingereza wanafanya hil mpirani wanasimamisha mpira ili wachezaji waliofunga wafungulie.Acha wivu wa kitoto, jana nilikuwa taifa pale Mwai Kibaki amepewa heshima kabla game haijaanza na katikati ya game walipewa dakika 3 za kufungulia swaumu kwa wachezaji waliofunga Ramadhani!
Ni kuheshimu tu dini za wengine maana dunia hii ni yetu sote. Mimi huzima redio au Tv mara adhana ianzapo tuvumiliane tu na haya mapokeo ya kila upande.