Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mkuu huu uzi ni wa kipumbafu sana.
Kama ulicheki jana mechi ya yanga na simba mwamuzi ulipofika muda wa kufuturu alisimamisha mpira ili wachezaji waislamu wafturu, kwahiyo katika soka nako kuna udini??
Raisi wa kenya pia nae aliwahi kusimamisha hotoba ili kupisha adhana!!
Serikali haina dini lakini sio kua haiheshimu dini zilizopo, kwani pale anahutubia kideoni au wapi, si kuna watu kwa maana hiyo inabidi awaheshim wao na dini zao.
Jaribu kuwaomba mods wafute huu uzi.