Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

simpendi huyu mama lakini swala lakusimamisha hotuba kisa adhana ni jambo la heri tuache kulalamikia vitu vya kijinga na kipumbavu.
 
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Hata Kenyatta alipokuja Tanzania alisimamisha hotuba kupisha adhana, na mechi ya Simba na Yanga jana ilisimama pia hivyo si jipya ni heshima.
 
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Hii huitwa Utanzania, huikuti kwingine kokote kule hapa duniani si CHADEMA si CUF. ZFZMWCCM
 
Watu wanasimamisha vita mpaka adhana ipite, sembuse hotuba!
 
Hovyo sana we jamaa! kwa hiyo hapo imekuuma nini? Jaribu kuwa positive minded always, utaepukana na stress za kizembe kama hizo.
 
Kweli kuna watu hamna jema kabisa katika dunia hii. Subiri saa ya kufa kwako ndio utajua kuwa kumheshimu Mwenyezi MUNGU ni jambo kubwa na la heshima
Mungu gani sasa hapo ndo shida! Au huyu huyu allah wa wenzetu? Sio kila neno Mungu linamaanisha wa kwako! Kila mtu anamungu wake! Allah mimi hanihusu hata kidogo!
 
Simpendi mama na sijawahi wapenda marais wote kabla, lakini sioni ubaya kwenye hili. Namuunga mkono. Tuheshimu imani za watu.
 
Anaitukuza dini yake.

Hata kule marekani wakati anahutubia watanzania aliharakisha kumalizia hotuba yake kwakua muda wa kufuturu ulikua umekaribia.
 
Tunakoelekea tutakuwa tuasimamishwa hata makazini kupisha azana.

#MaendeleoHayanaChama
rais samia hakumsimamisha mtu kupisha adhana ila amesimama yeye kwa hivyo aliyemfuata ni kumuhishimu,uhuru kenyatta rais wa kenya ni mkristo lakini alisimamisha salamu zake wakati wa maziko ya magufuli au ulikuwa hujazaliwa
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Nyie wanafiki hamna lolote! Hiyo kelele tu ya kutaka kulazimisha kila mtu atambue kuwa nyinyi ndo watu wa dini! Kwa hiyo aliset mda wa hotuba ukaribiane na ibada ili shekhe akianza kuswali asimamishe hotuba kupata ujiko?
 
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kwa mara nyingine tena, tunashuhudia viongozi wakuu wa nchi wakionyesha kujali pale adhana inaposikika pale wapokuwa mbele ya umati mkubwa wa watu. Hiki ni kitendo cha kiungwana mbele za wale wenye kuishika imani ya Kiislamu.

Ikiwa tofauti na mlio wa sauti ya kengere, adhana ni sauti yenye kuambatana na matamko ya wito wa kiibada kwa waumini. Hivyo vyema fanani asikiapo wito huo huku akiwa mbele ya hadhira, akatoa nafasi kwa wale wenye kuguswa wapate kuusikia vyema.

Tatizo linakuja kwa mashabiki wa michezo hasa soka, hawawezi kabisa kuvumilia pale refa akilazimika kusimamisha mechi ili kupisha adhana. Kibongo bongo itabidi itungiwe kanuni.
 
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kama wewe mgonga kengere subiri na ww ligongwe
 
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Uhuru kenyatta alifanya nn ?

Mbona mzee una mind mambo madogo

Ova
 
Back
Top Bottom