bush striker
Senior Member
- Feb 16, 2019
- 102
- 249
Naona hata Uingereza wanafanya hil mpirani wanasimamisha mpira ili wachezaji waliofunga wafungulie.Acha wivu wa kitoto, jana nilikuwa taifa pale Mwai Kibaki amepewa heshima kabla game haijaanza na katikati ya game walipewa dakika 3 za kufungulia swaumu kwa wachezaji waliofunga Ramadhani!
Tujitahidi kujadili masuala yenye tija kwa taifa - kama uchumi na biashara, amani na umoja wa kitaifa, haki, demokrasia na uhuru wa kutoa maoni, na masuala kama hayo. Rais kama muumini wa dini ya kiislamu na kama kiongozi mkuu wa taifa letu amefanya uamuzi wa busara kusimamisha hotuba yake kwa muda.Mambo mengine ruhusu yakupite.
Moto wa pombe? Hii ndio naisikia kwako pili hakuna sehemu kwenye uislam inasema yesu atarudi kuhukumu mzee, kwenye uislam atarudi nabii sio mungu na huyo nabii akirudi haji kuhukumuSawa ni maoni yako! Ukumbuke hata uislam unakiri kuwa Yesu ndo atakuja kuhukumu ulimwengu! Sasa hapo wakumfata nani? Anayekueleza brabra za hadithi au atakayekuja kuhukumu? Wewe jiulize tu kujua uongo wa uislam ni pale unapoambiwa kule ahera kuna moto ya pombe na mabikira 70 wanaobadilika rangi mara elfu kwa siku! Hapo ujiongeze mwenyewe kama haumwabudu shetani mwenyewe anayejivika Umungu kwa kujificha kwenye vitabu wa torati za Mussa!
Allah kiarabu, Mungu kiswahili. Hivi unadhani wakristo waliopo uarabuni Mungu wanatamkaje? Au unahisi wanamwita Jehova?Mungu gani sasa hapo ndo shida! Au huyu huyu allah wa wenzetu? Sio kila neno Mungu linamaanisha wa kwako! Kila mtu anamungu wake! Allah mimi hanihusu hata kidogo!
Allah kiarabu, Mungu kiswahili. Hivi unadhani wakristo waliopo uarabuni Mungu wanatamkaje? Au unahisi wanamwita Jehova?
No! Kwenye kuaga mwili wa mwendazakeNi utamaduni wa kuheshimiana tu,na mwanzilishi wa hili ni Mh sana rais wa Kenya Mh Uhuru Kenyatta pale Dodoma kwenye kuapisha mwendazake kama sikosei 2020
Mkuu nakuuliza wakristo wa kiarabu na wapo uarabuni Mungu wanamwitajeNeno Mungu sio tija tija ni maana! Hata Mganga wa kienyeji anamungu wake! Usidanganyike ndugu! Sio kila neno Mungu linamaanisha Mungu wa Kweli! Hata wahindi wana Mungu Ng'ombe!
Kenyatta ndio aliwafunza viongozi wetu hapaImekaa hivyo hivyo nafikiri Kenyatta aliwahi kufanya hivyo pia
Kweli ...!!Bora angesimamisha hata nusu saa tumsikie Mungu kuliko ahadi zisizotekelezeka.
Wanaita Allah ila wakiwa na maana Mungu wa Ibrahim,Isaka na Mungu wa Israel! Sio huyo wa kwenu aliyemtokea Muhammad kwenye mapango!Mkuu nakuuliza wakristo wa kiarabu na wapo uarabuni Mungu wanamwitaje
Mkuu una nongwa Sana, Marehemu JPM alikuwa akitoa hotuba zinazohusu taifa akiwa kanisani, wengine waliheshimu imani yake na cheo chake regardless wapi alipohutubia.Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kabisa mkuuTujitahidi kujadili masuala yenye tija kwa taifa - kama uchumi na biashara, amani na umoja wa kitaifa, haki, demokrasia na uhuru wa kutoa maoni, na masuala kama hayo. Rais kama muumini wa dini ya kiislamu na kama kiongozi mkuu wa taifa letu amefanya uamuzi wa busara kusimamisha hotuba yake kwa muda.