C camerlengo JF-Expert Member Joined Jun 28, 2025 Posts 1,034 Reaction score 1,002 Feb 2, 2026 #121 THE BIG SHOW said: Hizo hadithi peaneni huko huko parokiani Teh teh teh Eti mnadanganyana kwamba vatican wairudishe serikali ije ikae na TEC kwa lipi hasa. Serikali ina haja gani ya kuzungumza na TEC na kwa lipi?? Serikali haiwezi poteza muda kuongea na wehu Click to expand... Kwa Nini serikali isiende.Mecca? Kwa Papa wamekwenda kufanya Nini?
THE BIG SHOW said: Hizo hadithi peaneni huko huko parokiani Teh teh teh Eti mnadanganyana kwamba vatican wairudishe serikali ije ikae na TEC kwa lipi hasa. Serikali ina haja gani ya kuzungumza na TEC na kwa lipi?? Serikali haiwezi poteza muda kuongea na wehu Click to expand... Kwa Nini serikali isiende.Mecca? Kwa Papa wamekwenda kufanya Nini?
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,804 Reaction score 134,593 May 14, 2026 #122 THE BIG SHOW said: Friends and Our Enemies, Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa Papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu. Click to expand... Sio serikali pekee, hata vikundi mbalimbali vinatinga Vatican kuiombea baraka Tanzania Wanawake Wakatoliki Tanzania WAWATA 49 Watinga Vatican Kuhiji na Kuvuna Baraka!, Wabarikiwa na Baba Mtakatifu, Tanzania Pia Yabarikiwa!. Tumebarikiwa! P
THE BIG SHOW said: Friends and Our Enemies, Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa Papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu. Click to expand... Sio serikali pekee, hata vikundi mbalimbali vinatinga Vatican kuiombea baraka Tanzania Wanawake Wakatoliki Tanzania WAWATA 49 Watinga Vatican Kuhiji na Kuvuna Baraka!, Wabarikiwa na Baba Mtakatifu, Tanzania Pia Yabarikiwa!. Tumebarikiwa! P