Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Watu wanakwenda kwenye mikutano ya TundA Lisu kupoteza muda na kutizama Futuhi!
TundA ana vichekesho sana... Eti anawahutubia wakulima kuhusu tozo za mazao na wakati Magufuli alishazifuta tangu zamani za kale!
Kama hapa anasema treni ya mpanda ilishakufa kumbe ipo
Your browser is not able to display this video.
 
Pana Taarifa zina sambaa kuwa Polisi wanapiga Watu Mabomu ya Machozi baada ya Fujo iliyozuka kwa kukutana wafuasi wa Chadema na CCM ,huko huko Geita.Mwenye Taarifa zaidi atujuze.
 
Mkuu, sikiliza clip ya mtumishi wa Mungu Mwingira. Utapata Jibu kuwa Mungu tu ndani ya Lissu. Lissu ni mshindi tayari. Haiwezekani upone risasi 16 alafu kusiwe na mpango wa Mungu ndani yako!
 
Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
Hata kipindi cha Lowassa mlisema zimechakachuliwa, sasa hivi za Lowassa zimekuwa 'original' kwenye 'feki' za Lissu!!

Dah hivi hata nyie wenyewe huwa mnaelewa mnavo jichanganya?!
 
Kwa mujibu wa Lissu , kutangaza matokeo yoyote kinyume na kura halali huo ndio utakuwa mwisho wa Tanzania , madikteta wote walioondolewa , kupinduliwa ama kukamatwa walikuwa na wapambe njaa kama wewe
Tuseme tu ukweli, hivi utaweza kuingia barabarani?

Nafsi ru inakusuta
 
Hiyo in ,analysis. Watu kuhudhuria mikutano ,ni kutaka 1.Kusikia Sera zake ,na si kumpigia kura.2.Wengine sana hamu ya kuona MTU mwenye vyuma mwilini.3.Si,wote wanaoudhuria watapiga kura ,wengine hawana kadi.
 
Hata wazawa wenzake hawataki kupitia tena mateso waliyopitia kwa miaka mingine mitano, mitano imetosha ndugu kapumzike tunashukuru kwa machozi yote uliyotuliza.
Jiwe hafai nakwambia!! Ndo mana hata kwao wamemkataa. Huyu jamaa ana roho mbaya haijawai tokea muulize yule mfanyabiashara wa Mwanza na Musoma Peter Zacharia aliyekuwa rafiki yake atakwambia
 
Hiyo in ,analysis. Watu kuhudhuria mikutano ,ni kutaka 1.Kusikia Sera zake ,na si kumpigia kura.2.Wengine sana hamu ya kuona MTU mwenye vyuma mwilini.3.Si,wote wanaoudhuria watapiga kura ,wengine hawana kadi.
Huu ujumbe mfikisbie Lisu Alie dai kuwa kuna umati mkubwa kwenye mikutano take hivyo yeye ni mshindi. Alafu beans take Amsterdam akashabikia huko Twitter
 
Hivi jamani na nyie mnafikiri geita kabisa geita wampigie Kura Tundu lissu half wamwache magu
Magufuli kutokana na kiburi hana uhusiano mzuri na watu wa geita kwa miaka na miaka , hawana time naye , ukitaka kuthibitisha hili rudi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2014 , vijiji vyote vya jimbo lake ikiwemo kijiji anachokaa yeye vilichukuliwa na Chadema , kumbuka hakuwa mbunge tu pia alikuwa waziri
 
Kuna majombo magu alishindwa 2015?
 
Huu unumbe mfikisbie Lisu Alie dai kuwa kuna umati mkubwa kwenye mikutano take hivyo yeye ni mshindi. Alafu beans take Amsterdam akashabikia huko Twitter
Mkuu unaweza kurudia kusoma kwa makini ulichoandika?
 
Jiwe hafai nakwambia!! Ndo mana hata kwao wamemkataa. Huyu jamaa ana roho mbaya haijawai tokea muulize yule mfanyabiashara wa Mwanza na Musoma Peter Zacharia aliyekuwa rafiki yake atakwambia
Hakuna mtu mshenzi Kama Peter Zakaria. Enzi za Kikwete Peter Zakaria alikuwa anaweza kuamrisha abiria wote kwenye basi lake wachapwe viboko na wakachapwa na mtu asiseme kitu.

Humjui Peter Zakaria wewe, hivyo kaa utulie
 
Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
Ha ha ha wanatumia picha za lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…