Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Mkuu umekuwa mwaminifu kwa ahadi uliyoahidi kishuhudia...barikiwa
 
Pana Taarifa zina sambaa kuwa Polisi wanapiga Watu Mabomu ya Machozi baada ya Fujo iliyozuka kwa kukutana wafuasi wa Chadema na CCM ,huko huko Geita.Mwenye Taarifa zaidi atujuze.
tunaomba jina la RPC wa hapo
 
Mbeya ipi labda ya huko kwenu kusikojulikana
 
Geita wana jambo lao,watu waliporwa migodi yao .

Leo wachimbaji wadogo ni kama wako nchi ya ugenini,hawana chao pale.

Madini yote Mabeberu wanayabeba kwa madege kila siku.

Hii kitu inawaumiza sana wazawa wa Geita.
 
Haaahaaaa ila CCM bhana, yaani huwa mnajifanya confident ila ikifika 28 october mnaanza sarakasi. Kma mnajiamini hvi kwanni mnaogopa chaguzi huru na haki?
 
Ujinga mlionao ni mkubwa kuliko mlima Kilimanjaro...mhaini wa nchi huyo nani ampeleke Ikulu?

Hatutaki kuongozwa na mtu mropokaji wa kila kitu,mtu gani kila kitu kwake kibaya ilihali sisi kama wananchi tunaona wazi jinsi President anavyo tupambania..pisha mbali wewe
 
Hii ya Leo Geita, inatafakarisha mno, huko kwa jirani kuna taharuki kuu.
 
Sitaki kukuharibia siku, kwa taarifa tuu, Kuna association moja inafanya kazi overdrive. Mpaka 28th October, 2020 usishangae kwa matokeo yeyote.

Ahaaaa ahaaaa, mzee wa futuhi naona ulitoweka kwenye ule uzi ulioweka kiporo!
 
Watu wanakwenda kwenye mikutano ya TundA Lisu kupoteza muda na kutizama Futuhi!
TundA ana vichekesho sana... Eti anawahutubia wakulima kuhusu tozo za mazao na wakati Magufuli alishazifuta tangu zamani za kale!
Kwa **£*££ hawaendi wanaogopa kusikia matusi
 
Mkuu, umeona taarifa ya habari ITV usiku huu?.
Hoja yako imenipeleka kutafakari kisa cha ufufuo wa Yesu Kristo, baada ya kuwa amefufuka watesi wake waliwaamuru walinzi wasiseme kuwa amefufuka bali waseme wanafunzi wake waliuiba mwili usiku.
Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…