Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Kuna watu baada ya oktoba watatelekeza id zao humu
 
Hiyo haitasaidia zaidi ya kumuongezea Lissu kura na umaarufu.

Na Wana Geita wengi niliowasikia mkutanoni, wana hasira za kila Jambo jema linapelekwa Chato ilihali Ni wilaya tu, makao ya mkoa yanaachwa hivyo hivyo. Sana sana mkoani kumejengwa kale ka-soko ka dhahabu, ambacho hakipo Geita pekee.
 
Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!

Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!

Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!

Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Endelea kukariri hivyo hivyo, wakati huu ni wakati muhimu kwa watanzania kuliko wakati wowote hakuna atakaye ib a kura wara kutangaza matokeo ya kub umba au ya kupika mm nipo kanda ya ziwa upepo uMEbadilika.
 
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.

Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu

Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?

Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unasemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .

Wewe ni shoga ambae unaharisha muda wote,Lissu akutafutie nafasi akupeleke Ubelgiji.
 
Hizo picha za Karne ya 19 according to thesis ya Doctor Magufuli ya mwaka 1997.
 
"Kwa wasaniii wote wale kwa nn umati usiwe mkubwa " kazi tuwaachiee wajumbe wananchi
 
Mbumbu anayebisha aende YouTube aangalie mikutano yalissu nasio picha za humu Jf.
 
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.

Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu

Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?

Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unasemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .

Wananchi wamechoka na udhalimu wa serikali iliyopo madarakani kwa miaka zaidi ya 50
 
Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!

Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!

Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!

Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
wewe unatakiwa upimwe mkojo........................
 
Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
You must be sick
 
Uchaguzi huu utakuwa na mishtuko mingi sana, kitu cha kujitayarisha ni vilio tutakavyo visikia. Kuna ambao weshaamua waraonewa
 
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa.

Cha ajabu ni kwamba kila anapopita kwenye kampeni zake za kuomba Urais watu wanajaa kupita kiasi , na cha kushangaza zaidi ni huko kanda ya ziwa ambako tuliaminishwa kwamba ni ngome ya watu wengine ndiko ilikovunjiwa rekodi ya umati kwenye mikutano yake , Katoro , Sengerema na Geita ni mifano hai ya hoja yangu

Swali langu ni hili , kwa umati huu unaojitokeza kwenye mikutano ya Lissu huko kanda ya ziwa ni kiashiria cha jambo gani ?

Hizi hapa ni picha za Geita , Mkoa unasemekana alizaliwa Mgombea Urais wa CCM , jioneeni wenyewe .

Achana na picha zilizochakatwa hizo picha ni Tundu akigombea ubunge miaka ya elfu mbili
 
Wewe ni shoga ambae unaharisha muda wote,Lissu akutafutie nafasi akupeleke Ubelgiji.

Sio ww tu umepanick, ni wanaccm wote wamepanick kuanzia mwenyekiti. Kabla ya Lisu kurejea ccm walikuwa wanatamba kwa tathmini za kupika, ilifikia mpaka mkawavika NCCR Mageuzi kilemba cha ukoka, kuwa watakuwa chama kikuu cha upinzani. Ww binafsi ni mtu uliyejifanya uko NCCR Mageuzi ili kuhadaa umma kuwa NCCR imerudi kwenye chart, lakini Mungu hamfichi mnafiki, hujawahi kuanzisha uzi wowote kuhusu NCCR, na sasa mmepoteana maana ukweli mliokuwa hamtaki ufahamike sasa uko wazi peupe. Ni hivi imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom