Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Yanga ilitakiwa kushushwa daraja kabisa. Akili zqao kama Manji
 
TFF imemfungia mwaka 1 mchezaji wa yanga stephano mwasika,pia mechi sita kwa canavaro,na Tegete,pia mechi 3 kwa nurdin bakari,na omega seme na YANGA kupigwa faini ya milioni 4.5 kutokana na vurugu kati ya mechi ya yanga na Azam
Na refa amepata adhabu gani maana nadhani naye ana makosa.
 
Hebu nipe mfano wa mchezaji aliyepata life ban kuwa kumdunda muamuzi/mchezaji mwenzake....
Mtani uko Arumeru.....Mkuu mmeniker sana kwa kwa tabia yenu mbovu nana medhamilia kutua halibia soka...labda niwapeni uchauri ...mnaonaje timu yenu mkiibadilisha jina ikawa Yanga Boxing Club
 
Hebu nipe mfano wa mchezaji aliyepata life ban kuwa kumdunda muamuzi/mchezaji mwenzake....
Hivi tuna kutana lini....nina uhakika kama ingekuwa bado mechi mbili tukutane mngeandama.....hahahah
 
Hebu nipe mfano wa mchezaji aliyepata life ban kuwa kumdunda muamuzi/mchezaji mwenzake....
kabla ya kupewa jina la mchezaji hebu tupe jina la mchezaji alimtwanga refa waziwazi kama walivyofanya yanga....hakika mara ya mwisho kuona tabia ya kumtwanga refa namna hii ni mwaka 2001 kwenye ligi daraja la nne kipindi hicho refa alikuwa akikuzingua unampa....dunia ya leo mtu kama Messi atwange refa kiasi hicho sitegemei eti adhabu yake itakuwa mechi 6 tu...
 
hivi wachezaji wamekwisha pewa nafasi ya kupeleka utetezi wao? kama wamewafungia kabla ya kufanya hivyo watakuwa wamekosea nadhani. kujitetea sio tu kutoa haki ya adhabu kwa mtuhumiwa bali pia inawapa majaji kujua jinsi ya kuepusha matatizo siku za usoni. mfano kosa la kutukana linafanywa na mdomo ambapo refa nae anao. vipi kama ni yeye alie mtukana haruna naye akaghazabika. kwa ujula naona sio swala rahisi kama walivyolichukulia. kwangu mimi naona wachochezi nao wanastahili adhabu. nilikuwa zanzibar wakati yanga wanacheza na azam. hali ilikuwa hivyo refa kuharibu mechi tangu dk ya kwanza tu. ushahidi hata wa mazingira ukitumiwa vizuri unaweza kumtia mtu kwenye makosa ya rushwa
 
Mtani pole........hakuna life ban bana.....lengthy bans sawa.....kama huyu

article-1388957-0012022000000258-420_306x423.jpg

plgoldfunny2.jpg

Naona jamaa ana frustration inabidi tumpe moyo ukizingatia na kule meru tume washika......
 
hivi wachezaji wamekwisha pewa nafasi ya kupeleka utetezi wao? kama wamewafungia kabla ya kufanya hivyo watakuwa wamekosea nadhani. kujitetea sio tu kutoa haki ya adhabu kwa mtuhumiwa bali pia inawapa majaji kujua jinsi ya kuepusha matatizo siku za usoni. mfano kosa la kutukana linafanywa na mdomo ambapo refa nae anao. vipi kama ni yeye alie mtukana haruna naye akaghazabika. kwa ujula naona sio swala rahisi kama walivyolichukulia. kwangu mimi naona wachochezi nao wanastahili adhabu. nilikuwa zanzibar wakati yanga wanacheza na azam. hali ilikuwa hivyo refa kuharibu mechi tangu dk ya kwanza tu. ushahidi hata wa mazingira ukitumiwa vizuri unaweza kumtia mtu kwenye makosa ya rushwa
Hakuna cha kupewa nafasi ya kujitete uhuni wao waupeleke kwa mme wao manji..............
 
Israel Mujuni referee wa mechi ni jinga sana! Shabiki la Simba tangu kale! Yanga tutakata rufaaa TFF hovyo
 
Bloger anaweza kupost chochote hata akiwa Break Point Bar anakunywa pombe, TFF ina msemaje wake na wanahabari wote wanapaswa kupata habari za TFF kupitia kwa msemaji rasmi wa TFF na sio kupigiana simu na baadhi ya wajumbe wa kamati. huu ni uswahili na ukanjanja.

Shaffih mwenyewe ni mwandishi wa habari, so inawezekana hizo info kazitoa hukohuko unapotaka zitolewe
 
Naona hadi Member wa Jamii Forum wamekuwa na mandate ya ku'top-up adhabu za wachezaji wa Yanga,haya Wakuu,nyie tu hata mkisema wasicheze Muongo mmoja(Miaka 10) Yanga itabaki kuwa Yanga na ubingwa tutachukua kwa style kama mwaka jana tu.
Chukue makombe yote lakini muwe na adabu sio huu uhuni wenu mliozoe kwa manji...fatini sheria 17 za soka....tena hata hivyo mmebebwa kuna wachezaji pale yanga walitakiwa kufungiwa zaidi ya miezi 6 na si mechi sita au mechi 3.....
 
mdau nimepata information toka blog ya shaffih dauda
nani asiyejua shaffi mwanachama wa simba,kwa taarifa yako lile jamaa simba damu na yy ndo aliemleta emanuel okwi simba na kwa kushirikiana namtangazaji mwenzie maestro waleta kipindi cha simba tv pale clouds.huyu jamaa simpendi kishenzi
 
Adhabu hyo haiwatoshi. Naskia pia hao wachezaji walimpga mtoto hadi akafariki et kisa alwazomea kwa kuwaita yeboyebo.
Siipendi Yanga tena. Washamba wa soka.
we unaushahidi,au umeskia clouds a.k.a tawi la simba.nani asiyejua jopo lawatangazaji wa michezo woote 11 kasoro,ibrahim mohamed pale clouds ni wanachama nawengine ni viongozi wa simba ?hii ni police case sio unaropoka .:shut-mouth:
 
******* maji hawa wamekurupuka kutoa adhabu bila kujua wahusika kamiilifu ninapicha ya canavaro kupiga konde la nguvu kwa refa nashangaa wamemwacha wanakimbilia mwasika very shame anyway
baggage in baggage out
hebu onyesha tione nyie ndo wanafki wenyew,mwingine alimtaja kijiko wakati hakuwepo hata kwenye benchi,bila shaka we ni mwanamke au unatabia za kike
 
we unaushahidi,au umeskia clouds aka tawi la simba.nani asiyejua jopo lawatangazaji wa michezo woote 11 kasoro,ibrahim mohamed pale clouds ni wanachama nawengine ni viongozi wa simba ?hii ni police case sio unaropoka .:shut-mouth:

kwanini mliwakubalia wawe mapromota wenu siku ya zamalek..
 
Back
Top Bottom