Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ilitakiwa kushushwa daraja kabisa. Akili zqao kama Manji
Na refa amepata adhabu gani maana nadhani naye ana makosa.TFF imemfungia mwaka 1 mchezaji wa yanga stephano mwasika,pia mechi sita kwa canavaro,na Tegete,pia mechi 3 kwa nurdin bakari,na omega seme na YANGA kupigwa faini ya milioni 4.5 kutokana na vurugu kati ya mechi ya yanga na Azam
Tulia wewe,yaani utufanyie ujinga tukuchekee tu?ukituzingua tunakuzingua pia hizo ndiyo sera zetu wana-jangwani!!!
Yanga ilitakiwa kushushwa daraja kabisa. Akili zqao kama Manji
Mtani uko Arumeru.....Mkuu mmeniker sana kwa kwa tabia yenu mbovu nana medhamilia kutua halibia soka...labda niwapeni uchauri ...mnaonaje timu yenu mkiibadilisha jina ikawa Yanga Boxing ClubHebu nipe mfano wa mchezaji aliyepata life ban kuwa kumdunda muamuzi/mchezaji mwenzake....
Hivi tuna kutana lini....nina uhakika kama ingekuwa bado mechi mbili tukutane mngeandama.....hahahahHebu nipe mfano wa mchezaji aliyepata life ban kuwa kumdunda muamuzi/mchezaji mwenzake....
Unaona msivo na adabu yaani ni kuanzia viongozi, wachezaji, wanachama mpka mashabiki wa yanga hakuna adabu kabisa....Unaongea kama umepakatwa
kabla ya kupewa jina la mchezaji hebu tupe jina la mchezaji alimtwanga refa waziwazi kama walivyofanya yanga....hakika mara ya mwisho kuona tabia ya kumtwanga refa namna hii ni mwaka 2001 kwenye ligi daraja la nne kipindi hicho refa alikuwa akikuzingua unampa....dunia ya leo mtu kama Messi atwange refa kiasi hicho sitegemei eti adhabu yake itakuwa mechi 6 tu...Hebu nipe mfano wa mchezaji aliyepata life ban kuwa kumdunda muamuzi/mchezaji mwenzake....
Mtani pole........hakuna life ban bana.....lengthy bans sawa.....kama huyu
![]()
![]()
Hakuna cha kupewa nafasi ya kujitete uhuni wao waupeleke kwa mme wao manji..............hivi wachezaji wamekwisha pewa nafasi ya kupeleka utetezi wao? kama wamewafungia kabla ya kufanya hivyo watakuwa wamekosea nadhani. kujitetea sio tu kutoa haki ya adhabu kwa mtuhumiwa bali pia inawapa majaji kujua jinsi ya kuepusha matatizo siku za usoni. mfano kosa la kutukana linafanywa na mdomo ambapo refa nae anao. vipi kama ni yeye alie mtukana haruna naye akaghazabika. kwa ujula naona sio swala rahisi kama walivyolichukulia. kwangu mimi naona wachochezi nao wanastahili adhabu. nilikuwa zanzibar wakati yanga wanacheza na azam. hali ilikuwa hivyo refa kuharibu mechi tangu dk ya kwanza tu. ushahidi hata wa mazingira ukitumiwa vizuri unaweza kumtia mtu kwenye makosa ya rushwa
unamdanganya nani,si useme tu we simba nani asiyejua matola mchezaji wa simba wa zamani?Off course mimi ni Yanga moderate fan, naunga mkono hoja yako kwa 100%
Bloger anaweza kupost chochote hata akiwa Break Point Bar anakunywa pombe, TFF ina msemaje wake na wanahabari wote wanapaswa kupata habari za TFF kupitia kwa msemaji rasmi wa TFF na sio kupigiana simu na baadhi ya wajumbe wa kamati. huu ni uswahili na ukanjanja.
Chukue makombe yote lakini muwe na adabu sio huu uhuni wenu mliozoe kwa manji...fatini sheria 17 za soka....tena hata hivyo mmebebwa kuna wachezaji pale yanga walitakiwa kufungiwa zaidi ya miezi 6 na si mechi sita au mechi 3.....Naona hadi Member wa Jamii Forum wamekuwa na mandate ya ku'top-up adhabu za wachezaji wa Yanga,haya Wakuu,nyie tu hata mkisema wasicheze Muongo mmoja(Miaka 10) Yanga itabaki kuwa Yanga na ubingwa tutachukua kwa style kama mwaka jana tu.
nani asiyejua shaffi mwanachama wa simba,kwa taarifa yako lile jamaa simba damu na yy ndo aliemleta emanuel okwi simba na kwa kushirikiana namtangazaji mwenzie maestro waleta kipindi cha simba tv pale clouds.huyu jamaa simpendi kishenzimdau nimepata information toka blog ya shaffih dauda
we unaushahidi,au umeskia clouds a.k.a tawi la simba.nani asiyejua jopo lawatangazaji wa michezo woote 11 kasoro,ibrahim mohamed pale clouds ni wanachama nawengine ni viongozi wa simba ?hii ni police case sio unaropoka .:shut-mouth:Adhabu hyo haiwatoshi. Naskia pia hao wachezaji walimpga mtoto hadi akafariki et kisa alwazomea kwa kuwaita yeboyebo.
Siipendi Yanga tena. Washamba wa soka.
hebu onyesha tione nyie ndo wanafki wenyew,mwingine alimtaja kijiko wakati hakuwepo hata kwenye benchi,bila shaka we ni mwanamke au unatabia za kike******* maji hawa wamekurupuka kutoa adhabu bila kujua wahusika kamiilifu ninapicha ya canavaro kupiga konde la nguvu kwa refa nashangaa wamemwacha wanakimbilia mwasika very shame anyway
baggage in baggage out
we unaushahidi,au umeskia clouds aka tawi la simba.nani asiyejua jopo lawatangazaji wa michezo woote 11 kasoro,ibrahim mohamed pale clouds ni wanachama nawengine ni viongozi wa simba ?hii ni police case sio unaropoka .:shut-mouth: