Kitenge: Rais Samia, Mawaziri wanautaka urais 2025 waweke kando kabla ya Oktoba 30, 2022

Kitenge: Rais Samia, Mawaziri wanautaka urais 2025 waweke kando kabla ya Oktoba 30, 2022

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
Mtangazaji maarufu nchini, Maulid Baraka Kitenge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama ikimpendeza kuwaondoa haraka kwenye Baraza la Mawaziri mawaziri waliotajwa kwenda nje ya nchi kusaka fedha kutaka kumuondoa 2025.

CHANZO: EFM uchambuzi wa Magazeti Oktoba 26,2022
 
Huyo sa100 kuna mawaziri hawezi wagusa kamwe hata waboronge vipi zaidi atawabadilishia wizara tena sio kwa kutaka yeye.

#MaendeleoHayanaChama
Mh, mbona unanitisha... hawezi waondoa? akiwaondoa watafanya nini ambacho kwa kutumia majeshi/polisi hawezi kukizima (kwa Imperial presidents wa Africa)
 
Watu waliangusha mbuyu sembuse mgomba uwabwekee Hilo halipo, na halitatokea kamwe.
 
MTANGAZAJI maarufu nchini, Maulid Baraka Kitenge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama ikimpendeza kuwaondoa haraka kwenye Baraza la Mawaziri mawaziri waliotajwa kwenda nje ya nchi kusaka fedha kutaka kumuondoa 2025.

CHANZO: EFM uchambuzi wa Magazeti Oktoba 26,2022
Katumwa toka kule huyu...
 
sasa nani atagombea ?
 
Back
Top Bottom