Tuangalie Sana tusitolewe kwenye agenda tuangazie kwenye Wizi na ubadhilifu wa Mali za Umma.
Je ni KWELI Ufisadi na kujipatia Mali Kwa njia utumishi wa Umma vimeongezeka?
Ni kweli upendeleo ubabe wa vyombo vya dola umeanza?
Ni kweli mabeberu na wazamiaji wameiteka Serikali?
Nimepita sehemu wahamiaji wamezuiwa siku nne na mawakala wao wametumwa wakatafute rushwa.
Mahakama imewaachia wahamiaji haramu Kwa kuwapa kifungo cha nje ili waendelee kutumikia ADHABU Yao Kwa kuendelea kuishi Nchini bila kibali. Mambo ni mengi muda mchache.
Mapenzi mema Kwa nchi yaanzie utotoni vinginevyo wazalendo tutawatafuta Kwa tochi.