Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu mwanzo watu wawili pekee ndio hujulikana na kuwa maarufu.Bro. Na mimi nimesema Tanzania ni rahisi sana mtu kuwa maarufu kwa sababu ya jambo la kijinga kabisa. BTW Hili halitakiwi kwani sifa mbaya haitakiwi kutengeneza umaarufu. Sifa nzuri za kufanya mambo mazuri ndizo zinazotakiwa kuleta umaarufu.
Wewe umejibu vema kabisa, U-Star wa Bongo ni kuonesha mapaja, kutaja hadharani umetembea na nani, kusema kuwe wewe ni mzuri na vitu kama hivyo...Kupayuka etc etc.Sasa si ndio umaarufu wenyewe?
Unataka mtu maarufu awe na vigezo gani?Umaarufu ni kufahamika na watu wengi kwa sababu nzuri. Sasa mtu kama huyu anapata umaarufu kwa sababu za kijinga kabisa i.e. society yetu inafanya watu wawe maarufu pasipostahili.
ila ustar wa marekani upoje? Hivi kweli umewahi kutoka nje ya mipaka ya tanzania kweli?Wewe umejibu vema kabisa, U-Star wa Bongo ni kuonesha mapaja, kutaja hadharani umetembea na nani, kusema kuwe wewe ni mzuri na vitu kama hivyo...Kupayuka etc etc.
Sio kweli bashungwa ana upuuuzi huo. Na hawezi gombea uraisi. Kwa sababu kutokana na kuwa muhaya kwa original yake hawezi chaguliwa na wananchiBashungwa
MaderuSasa hao mawaziri wenyewe ni kina nani? Rais angesaidiwa kuambiwa ili aone itakavyofaa
Ni maarufu sana hilo halina ubishiANA UMAARUFU GANI? WA KUPAYUKA?
Wacha chuki za kibwegeHana lolote. Ni Bongo tu nchi ya mahoka ndiyo mtu kama huyu mchumia tumbo eti anaitwa mtangazaji maarafu
Tusibiri mkuuUsimwamini, alituambia uncle anaendelea vzr baada ya kuongea nae kwenye cm kumbe alishatutoka kitamboooo!!!!
Kuna mkeka Unakuja, sababu za kuwatimua zimepatikana!!!
Tangu mwanzo watu wawili pekee ndio hujulikana na kuwa maarufu.
Anayefanya vizuri zaidi au muovu zaidi
Huu umekuwa utamaduni wetu. Mtu akikosoa anaambiwa ni chuki. Kwa vile wewe una chuki basi unadhani kila mtu ana chuki. Wewe ni zaidi ya bwege.Wacha chuki za kibwege
Urais wa nchi hii hatuutoi kwa kuangalia ukristo na uislamu.Mwigulu mnamuonea Sana ,Mwigulu anapiga hesabu za 2030 kwa Kua ni zamu ya wakristo
Wenye kutaka kumpindua Mh Raisi ni mawaziri waislam ambao wanajua wakimuacha mama apite 2025 Basi Uraisi kwao ni ndoto kwa maana 2030 ni zamu ya Christian’s
Mkuu sioni mahali nimesema una chuki lakiniHuu umekuwa utamaduni wetu. Mtu akikosoa anaambiwa ni chuki. Kwa vile wewe una chuki basi unadhani kila mtu ana chuki. Wewe ni zaidi ya bwege.
Samahani mkuu. Nilikuwa namjibu members mwingine nikafanya kosa la kuwa-quote wote. Wewe huhusiki hata kidogo!Mkuu sioni mahali nimesema una chuki lakini
Pamoja sanaSamahani mkuu. Nilikuwa namjibu members mwingine nikafanya kosa la kuwa-quote wote. Wewe huhusiki hata kidogo!
Kikao walishafanya, mstaafu kasema ni uongo.🧐Rais awashughulikie kivipi?
Hayo mambo yao wayazungumze kwenye vikao vyao vya CCM...
Chalalami ndo nani?KASHFA ya kwenda kutafuta pesa nje ya nchi iliyoibuliwa na Chalalami ingawa haijathibitishwa ni sababu kuu ya kuondolewa mawaziri vijana ambao tumekuwa tulitaka wafukuzwe muda sasa.
hovyoooNi afisa kipenyo