Kwani si tulikubaliana tunaendelea na Samia hadi 2030 hayo mambo ya Mawaziri kutaka kugombea 2025 yanatoka wapi tena
Ngoja Tusubiri!!NAPENDA KUKUJULISHA YA KWAMBA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI HAKINA MPANGO WA KUTOA FOMU KWA AJILI YA NGAZI YA URAIS (2025), ISPOKUWA KWA NGAZI YA UBUNGE PEKEE, PIA WABUNGE WAGOMBEAJI WATACHUJWA NA KUWA SCREENED VIZURI JUU YA MISIMAMO YAO YA KIITIKADI, UCHAPA KAZI, UZALENDO WAO, WALE WENYE VIASILIA VYA UNDUMILAKUWILI WATAWEKWA PEMBENI MAPEMA ASUBUHI.
-KILA LA KHERI.
-WASALAAM.
cc/walafi wote wa madaraka.
Kwa kifupi fomu za Urais ziwekwe hapi mezani na ziuzwe Tsh 1,000,000 anayetaka akalipia , ajaze na waombe kura kwa wajumbe.Mtangazaji maarufu nchini, Maulid Baraka Kitenge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama ikimpendeza kuwaondoa haraka kwenye Baraza la Mawaziri mawaziri waliotajwa kwenda nje ya nchi kusaka fedha kutaka kumuondoa 2025.
CHANZO: EFM uchambuzi wa Magazeti Oktoba 26,2022
Yote hayo ya nini Baba wa taifa mzee Kikwete ameshalibainisha hili na halina tena mjadala kwani limeshaafikiwa na wana ccm wote. Hatuwezi kuichezea tunu na lulu yetu katika tundu la choo.Kwa kifupi fomu za Urais ziwekwe hapi mezani na ziuzwe Tsh 1,000,000 anayetaka akalipia , ajaze na waombe kura kwa wajumbe.
Mshindi jina kiende kwa wananchi kupigiwa Kura ya Ndio au Hapana
Iko kazi !! Wanasema sio utamaduni wa Ccm kumshindanisha Rais aliyeko madarakani na watu wengine kwenye Chama !Kwa kifupi fomu za Urais ziwekwe hapi mezani na ziuzwe Tsh 1,000,000 anayetaka akalipia , ajaze na waombe kura kwa wajumbe.
Mshindi jina kiende kwa wananchi kupigiwa Kura ya Ndio au Hapana
Tatizo la ccm ambalo hawalijui ni hili , hawajui na hawajawahi kuambiwa kuwaRAIS SIO WA CCM NI WAWANANCHI.Iko kazi !! Wanasema sio utamaduni wa Ccm kumshindanisha Rais aliyeko madarakani na watu wengine kwenye Chama !
Tatizo la ccm ambalo hawalijui ni hili , hawajui na hawajawahi kuambiwa kuwaRAIS SIO WA CCM NI WAWANANCHI.
Kw lugha nyepesi RAIS NI MALI YA WANANCHI NA SIO MALI YA CCM.
Kabisa kabisaTatizo la ccm ambalo hawalijui ni hili , hawajui na hawajawahi kuambiwa kuwaRAIS SIO WA CCM NI WAWANANCHI.
RAIS NI MALI YA WANANCHI NA SIO MALI YA CCM.
utabiri wa kitenge umetimiaSasa hao mawaziri wenyewe ni kina nani? Rais angesaidiwa kuambiwa ili aone itakavyofaa