Uchaguzi 2020 Kitengo cha habari cha CHADEMA wanyoosha mikono juu, waeleza tu mafuriko ya wanampokea Lissu si alichosema sababu hakipo

Lisu anawaabisha chadema kila uchao
Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera

Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu hawaoni waeleze nini

Kelele zote za kumtaka anadi sera zimeshindikana yeye kuzikubali

Nilikuwa naambiwa Lissu mbishi huwa hasikii la mtu sasa nimeamini kagoma katakata kunadi sera za Chadema kakigomea chama chake na wananchi wanaokwenda kumsikiliza
 
Hapo Ndipo CCM tunapowapiga bao .Tukifika kampeni hatuelezi mapungufu ya mpinzani Sababu Ni maneno matupu tukienda tunawaambia mhlihitaji barabara ya lami hiyo hapo mnaiona?

Mlihitaji mradi wa maji hup hapo mnaiona?

Mlihitaji elimu bure mnaiona?

Mlihitaji umene mnauona? No
Sasa tupeni kura tuwafanyie mengine
Uko very right ndio maana siku zote Mimi hapa nasema ili kujitoa chama Tawala au kumshinda incumbent inabidi uwe on point. Uwe na Mambo extraordinary na uwezo Mkubwa wa kushawishi kwani unakua unapambana na MTU mwenye evidence ata kama ni kidogo against wewe ahadi tupu na huna track record yoyote nzuri au mbaya.
 
Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,

1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......

Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne 😳 wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !

Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
CCM ni watanzania na wapinzani ni watanzania!Hapa kinachofanyika ni mwananchi anataka kiongozi atakayemfanyia nini!CDM wameeleza mambo yao makubwa matatu watakayoyapa kipaumbele!Na kati ya hayo kuna maendeleo ya watu!Hoja hii imekuja baada ya serikali ya awamu ya 5 kujisahau na kujikita katika vitu vinavyoonekana hata kama havigusi asilimia kubwa ya wananchi!Imagine wizara ya ujenzi inapewa 228% ya bajeti iliyopitishwa na bunge huku sekta kama kilimi inayogusa 70% ya watanzania inapelekewa chini ya 40% ya bajeti iliyopitishwa na bunge!Na ndio hapa unaona hakuna uwiano mzuri kati ya maendeleo ya watu na vitu!Na ndio hoja ya upinzani!Kama kuna watanzania watavutiwa na hoja hizi basi waachwe wachague wanachokitaka!
Hizo hadithi za kushabikia kuwa wapinzani ni hawastahili kuongoza hayana nafasi karne hii!CCM miaka 60 wamepewa watawale,wameobesha uwezo wao!Kuna ambao wameridhika na kuna ambao wanaamini akili nyingine inapaswa kuongoza!!
Unasema wapinzani wanasambaza chuki,sijaona chuki mahala popote zaidi ya siasa!Lakini kwa upande mwingine CCM na serikali wameonesha chuki kwa vitendo!Wapinzani miaka hii mitano wamepitia katika tanuru la moto!Utekaji,mauaji na kubambikiziwa kesi imekuwa jambo la kawaida kwa wapinzani!Imagine mpaka leo zaidi ya miezi miwili akina Nusrat Henje wako mahabusu bila dhamana kwa kuimba "Mungu ibariki Chadema ....." wakati huo huo UVCCM wako wanaendelea na maisha japo nao waliimba "Mungu mbariki Magufuli ...."!Hapo unaweza kuona ni nani kati ya upinzani na CCM anaiishi chuki kwa vitendo!Imefikia hatua mpaka wapiga kura wanatishwa kwamba ole wao wachague upinzani!Nani hapo anawagawa watanzania kwa misingi ya vyama??
Muwe na mishipa ya aibu,sio mnaongozwa na mihemko tu ya ukada!Tofauti na hapo hata usiku mtauita mchana bila aibu wala kupepesa macho,shame!
 
Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera

Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu hawaoni waeleze nini

Kelele zote za kumtaka anadi sera zimeshindikana yeye kuzikubali

Nilikuwa naambiwa Lissu mbishi huwa hasikii la mtu sasa nimeamini kagoma katakata kunadi sera za Chadema kakigomea chama chake na wananchi wanaokwenda kumsikiliza
These are just mere propaganda!
Na bado kuna kama mwezi wa kampeni jamaa atawanyosha sana.
 
Mwezi unakatika zimebaki siku tano bado Lisu hajaanza kueleza sera na keshapita asilimia Tisini ya strategic areas za chadema
 
Mkuu ulitaka Sera gani mbona kila Siku anatoa darsa la mambo mengi tu kuhusu mfumo wa majimbo, haki,uhuru,katiba mpya au?
 
Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,

1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......

Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne [emoji15] wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !

Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
Wewe pia ni Mataga kama Mataga wengine

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mambo 3 aliyotueleza wana kigoma ni
*Uhuru
*Haki
*Maendeleo ya watu
Amechambua vizuri sana sera hizo jana!Sema mnachochukia anaeleza sera huku akipiga na spana juu ya sera!
Mfano hapo kwenye uhuru anasema atapanua wigo wa uhuru kwa wananchi kufanya mambo yao bila kuingiliwa!Akasema serikali ya miaka 5 mtu akienda nayo tofauti basi ataanza kuhojiwa cheti cha kuzaliwa cha babu na bibi wakati hata Magufuli mwenyewe hana cheti cha kuzaliwa!
Muambie uhuru bila mipaka ni vurugu..hata ye binti yake hawezi kurudi nyumbani kwake na bwana kisha akazama nae chumbani kupigwa mikasi wakati ye kakaa sebuleni.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Muambie uhuru bila mipaka ni vurugu..hata ye binti yake hawezi kurudi nyumbani kwake na bwana kisha akazama nae chumbani kupigwa mikasi wakati ye kakaa sebuleni.
Hii nchi siyo familia bwashee!Mifano ameweka hapo,sio mtu akiikosoa serikali basi anabambikiziwa kesi mara uraia mara uhujumu uchumi!shwain
 
Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,

1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......

Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne [emoji15] wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !

Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
Toka hapa.
 
Hii nchi siyo familia bwashee!Mifano ameweka hapo,sio mtu akiikosoa serikali basi anabambikiziwa kesi mara uraia mara uhujumu uchumi!shwain
Kwa hiyo Lisu kampeni kageuza kijiwe cha kuelezea machungu yake binafsi badala ya sera za chama Chadema ?

Ka personalise issue zake Lisu binafsi na kuzifanya political campain agenda ya CHADEMA kwa kutumia platform ya ugombea uraisi!!!!!

Ila wakati wa kujieleza kuteuliwa ugombea mkutano mkuu hata hakuwa na hoja alitumia tu machungu yake binafsi kujieleza wajumbe wakaangua kilio wakampa pole ya kura!!!! Lakini hata kule hakujieleza vizuri kiasi kuwa apewe ugombea hiyo nafasi .Wajumbe tu walikuwa emotional tofauti na kamati kuu ambao walipiga kura bila kuwa emotional wakampiga chini .Nyalandu akaongoza

Chadema mtu wenu hadi sasa hajajenga hoja nzito za sera zenu sio siri ni kitu cha wazi kabisa
 
*Maendeleo ya vitu

Hivyo ndivyo vipaumbele vya serikali atakayounda Tundu Lissu!
Unateseka na hayo?Na bado,mpaka 28 oct mtakuwa mnavaa boxer kichwani!
 
Back
Top Bottom