Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,
1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......
Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne 😳 wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !
Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !