Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera
Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu hawaoni waeleze nini
Kelele zote za kumtaka anadi sera zimeshindikana yeye kuzikubali
Nilikuwa naambiwa Lissu mbishi huwa hasikii la mtu sasa nimeamini kagoma katakata kunadi sera za Chadema kakigomea chama chake na wananchi wanaokwenda kumsikiliza
Uko very right ndio maana siku zote Mimi hapa nasema ili kujitoa chama Tawala au kumshinda incumbent inabidi uwe on point. Uwe na Mambo extraordinary na uwezo Mkubwa wa kushawishi kwani unakua unapambana na MTU mwenye evidence ata kama ni kidogo against wewe ahadi tupu na huna track record yoyote nzuri au mbaya.Hapo Ndipo CCM tunapowapiga bao .Tukifika kampeni hatuelezi mapungufu ya mpinzani Sababu Ni maneno matupu tukienda tunawaambia mhlihitaji barabara ya lami hiyo hapo mnaiona?
Mlihitaji mradi wa maji hup hapo mnaiona?
Mlihitaji elimu bure mnaiona?
Mlihitaji umene mnauona? No
Sasa tupeni kura tuwafanyie mengine
CCM ni watanzania na wapinzani ni watanzania!Hapa kinachofanyika ni mwananchi anataka kiongozi atakayemfanyia nini!CDM wameeleza mambo yao makubwa matatu watakayoyapa kipaumbele!Na kati ya hayo kuna maendeleo ya watu!Hoja hii imekuja baada ya serikali ya awamu ya 5 kujisahau na kujikita katika vitu vinavyoonekana hata kama havigusi asilimia kubwa ya wananchi!Imagine wizara ya ujenzi inapewa 228% ya bajeti iliyopitishwa na bunge huku sekta kama kilimi inayogusa 70% ya watanzania inapelekewa chini ya 40% ya bajeti iliyopitishwa na bunge!Na ndio hapa unaona hakuna uwiano mzuri kati ya maendeleo ya watu na vitu!Na ndio hoja ya upinzani!Kama kuna watanzania watavutiwa na hoja hizi basi waachwe wachague wanachokitaka!Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,
1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......
Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne 😳 wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !
Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
These are just mere propaganda!Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera
Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu hawaoni waeleze nini
Kelele zote za kumtaka anadi sera zimeshindikana yeye kuzikubali
Nilikuwa naambiwa Lissu mbishi huwa hasikii la mtu sasa nimeamini kagoma katakata kunadi sera za Chadema kakigomea chama chake na wananchi wanaokwenda kumsikiliza
Mkuu ulitaka Sera gani mbona kila Siku anatoa darsa la mambo mengi tu kuhusu mfumo wa majimbo, haki,uhuru,katiba mpya au?Mwezi unakatika zimebaki siku tano bado Lisu hajaanza kueleza sera na keshapita asilimia Tisini ya strategic areas za chadema
Wewe pia ni Mataga kama Mataga wengineNitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,
1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......
Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne [emoji15] wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !
Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
Mkuu kweli umemaanisha kuwa jiwe anasema ukweli au umemdhihaki?This is typical African bad politics! Sema uongo uingie ikulu ! Magufuli anasema ukweli hata kama watu hawaupendi !
Muambie uhuru bila mipaka ni vurugu..hata ye binti yake hawezi kurudi nyumbani kwake na bwana kisha akazama nae chumbani kupigwa mikasi wakati ye kakaa sebuleni.Mambo 3 aliyotueleza wana kigoma ni
*Uhuru
*Haki
*Maendeleo ya watu
Amechambua vizuri sana sera hizo jana!Sema mnachochukia anaeleza sera huku akipiga na spana juu ya sera!
Mfano hapo kwenye uhuru anasema atapanua wigo wa uhuru kwa wananchi kufanya mambo yao bila kuingiliwa!Akasema serikali ya miaka 5 mtu akienda nayo tofauti basi ataanza kuhojiwa cheti cha kuzaliwa cha babu na bibi wakati hata Magufuli mwenyewe hana cheti cha kuzaliwa!
Hii nchi siyo familia bwashee!Mifano ameweka hapo,sio mtu akiikosoa serikali basi anabambikiziwa kesi mara uraia mara uhujumu uchumi!shwainMuambie uhuru bila mipaka ni vurugu..hata ye binti yake hawezi kurudi nyumbani kwake na bwana kisha akazama nae chumbani kupigwa mikasi wakati ye kakaa sebuleni.
Toka hapa.Nitolee mfano wa nchi yoyote ya Africa iliyo badili utawala wake wa vyama na kupata mafanikio makubwa katika nyanja zote ulizo ainisha hapo juu ! Ngoja nikurahisishie orodha,
1.Zambia ?
2. Malawi?
3. Kenya?
4. Libya?
5. Comoro?
6. Sudani kusini ?
7. Ivory coast ?
8. .......
Acheni kupumbazwa na political rhetoric za wapinzani, hakuna namna wanaweza kufanya lolote la tofauti zaidi ya ulaghai na kurudisha nyuma nchi ! Mara waseme CCM haijafanya lolote kwa miaka 60 ! Mara hao hao tena majukwaani wanaorodhesha mafanikio makubwa yaliyofanywa na tawala za awamu ya kwanza hadi ya nne [emoji15] wakionesha kua haya mambo makubwa anayofanya rais Magufili hakuyaanza yeye bali hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na wakoloni wa ujerumani na waingereza pia walifanya makubwa sana kwa nchi hii! Sijui hua wanajitoa ufahamu ? Mara waseme wanataka maendeleo ya watu na sio vitu ilhali vitu hivyo hivyo ndio wanatumia pia kama ndege zetu, barabara zetu, hospitali zetu, shule zetu na vinginevyo! Hao hao pia wameanza kuwaahidi wananchi kule Mufindi, Rukwa, kigoma kuwajengea barabara na miundo mbinu mingine wakisahau hayo ni maendeleo ya vitu! Jamani !
Very inconsistent assertions! Worse enough their arguments are embbed in hatred and deep sense of division among social fabric ! Very bad, kwa mfano kuwaita wana CCM eti maCCM ! Sowing very dangerous seeds of hate in our mother land !
Spana zimekubali!Lissu na Chadema were not prepared for this election
Mlidhani mtatoa kafara wanachama mwaka huu imebumaSpana zimekubali!
Sisi tunafanya kampeni na tunapiga spana kwelikweli!😁Mlidhani mtatoa kafara wanachama mwaka huu imebuma
Uliwahi kumuona Dr Slaa?Sisi tunafanya kampeni na tunapiga spana kwelikweli!😁
Ndio,wewe uliwahi kumuona Nyerere?Uliwahi kumuona Dr Slaa?
Kwa hiyo Lisu kampeni kageuza kijiwe cha kuelezea machungu yake binafsi badala ya sera za chama Chadema ?Hii nchi siyo familia bwashee!Mifano ameweka hapo,sio mtu akiikosoa serikali basi anabambikiziwa kesi mara uraia mara uhujumu uchumi!shwain
*UhuruKwa hiyo Lisu kampeni kageuza kijiwe cha kuelezea machungu yake binafsi badala ya sera za chama Chadema ?
Ka personalise issue zake Lisu binafsi na kuzifanya political campain agenda ya CHADEMA kwa kutumia platform ya ugombea uraisi!!!!!
Ila wakati wa kujieleza kuteuliwa ugombea mkutano mkuu hata hakuwa na hoja alitumia tu machungu yake binafsi kujieleza wajumbe wakaangua kilio wakampa pole ya kura!!!! Lakini hata kule hakujieleza vizuri kiasi kuwa apewe ugombea hiyo nafasi .Wajumbe tu walikuwa emotional tofauti na kamati kuu ambao walipiga kura bila kuwa emotional wakampiga chini .Nyalandu akaongoza
Chadema mtu wenu hadi sasa hajajenga hoja nzito za sera zenu sio siri ni kitu cha wazi kabisa