Uchaguzi 2020 Kitengo cha habari cha CHADEMA wanyoosha mikono juu, waeleza tu mafuriko ya wanampokea Lissu si alichosema sababu hakipo

By the way.. Malawi wamekirudisha madarakani chama kongwe kilichotawala muda mrefu Chini ya Banda baada ya kuwajaribu wapinzani Kwa muda bila kupata positive impact walizoahidiwa
 
By the way.. Malawi wamekirudisha madarakani chama kongwe kilichotawala muda mrefu Chini ya Banda baada ya kuwajaribu wapinzani Kwa muda bila kupata positive impact walizoahidiwa
 
Umeandika ukiwa na wanzuki kichwani?
 
Kwaio kwa akili yako unataka kutuambia ccm itawale milele
 
Sera hatutaki sisi,tunachotaka ni alichambe li jiwe linajionaga lenyewe Lina akili Sana eti kwa sababu tu limewateka ccm akili
 
Na ndio chanzo cha Mbowe kulala mbele!
 
Mbona ni kazi rahisi tu?
Kama wao wanaelezea habari za mafuriko ya kumpokea Lissu, basi nyie wengine waelezeeniwatu anachokisema.
 
Sera za CHADEMA zinazoelezwa na Lissu kwenye jukwaa kwa msingi wa Uhuru, Haki, na Maendeleo ya Watu zineleweka vizuri sana kwangu na kwa mwananchi yeyote asiye na mawazo mgando kama wewe. Kama anachoeleza unaona siyo sera basi hujui maana ya sera au unaimani kuwa sera ni kitu chochote kinachotamkwa na CCM. Pole sana. Endelea kuamini hivyo. Siyo tatizo lako ila ni unazi ndiyo unaokusumbua.
 
CCM imenadi sera tangu kuanzwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 Hadi Sasa hakuna jipya umaskini imezidi kuongezewa. CCM wanaongea kila neno Ila neno "Haki" hawadhubutu kuliongea.
 
By the way.. Malawi wamekirudisha madarakani chama kongwe kilichotawala muda mrefu Chini ya Banda baada ya kuwajaribu wapinzani Kwa muda bila kupata positive impact walizoahidiwa
hawajui hilo CHADEMA
 
Samahani je una watoto na kila siku unasisitiza wasome kwa bidii? Mungu kakosea sana kukupa watoto ambao wanalelewa na mzazi kama wewe.
 
1.Uhuru
2.Haki
3.Maendeleo ya watu!

Hizo ndio sera kuu zinazobeba sera ndogo ndogo kibao na anazielezea vizuri kwa mifano hai na kupiga spana!
Na spana zimekubali kweli kweli!
 
Mtaongea kila kitu Lissu kaza kamba baba,mafisi hoi
 
1.Uhuru
2.Haki
3.Maendeleo ya watu!

Hizo ndio sera kuu zinazobeba sera ndogo ndogo kibao na anazielezea vizuri kwa mifano hai na kupiga spana!
Na spana zimekubali kweli kweli!
Hata hujui sera Ni Nini ndio maana hata Lisu hajui anadhani hivyo vitu vitatu Ni sera!!! Hiyo sio sera ni kauli mbiu ya Chadema!!!

Mgombea wenu hamkumwandaa kunadi sera kabeba kauli mbiu anadhani ndio sera!!!
 
Watu wanafurika kusikiliza sera yeye hatumii hiyo opportunity kunadi sera anapoteza opportunity ok sio issue Shauri yake yake tukutane October 28 sanduku la kura
Watu hawazihitaji TV,redio na magazeti kupata taarifa kwa sababu wamezibwa midomo,waongee habari za upande mmoja,vinginevyo,faini,vifungo vinawahusu,na wakiongea no kwa maelekezo Nini kionekane na namna gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…