Uchaguzi 2020 Kitengo cha habari cha CHADEMA wanyoosha mikono juu, waeleza tu mafuriko ya wanampokea Lissu si alichosema sababu hakipo

Acha upotoshaji! Wewe mafanikio makubwa unayapimaje? Acha kutujaza ujinga na wa kutuaminisha bila Chama fulani kuwa madarakani hakuna mafanikio. Tunataka nchi iongozwe na mtu yoyote au chama chochote chenye Sera Bora.

Kimsingi, Umejiconfine kwenye hoja za kitoto. Kuna Mambo mengi ya msingi yanazungumzwa na TL. Kwa mfano suala la FAO la kujitoa. Wewe unaona ni sawa hiki kinachofanywa na Serikali yetu? Huoni kama hii ni dhurma ya wazi? Kama Sera hii ni nzuri, kwann isiwahusu Wabunge na Mawaziri?Wao hawapendi kuja kufaidi baada ya miaka 60 kama wafanyakazi wa chini walivyowafanyia??

Suala la Katiba Mpya, utakuwa ni mwendawazimu Tu kama utapinga hili. Sote tunakubaliana kuwa Katiba yetu ya Sasa ni Mbovu. Na wakwanza kutuambia haya ni CCM. Baada ya Kula mabilioni ya Kodi zetu, Mchakato wa Katiba Mpya ukasitishwa. Tunataka Katiba Mpya Sasa.

Usipotoshe, TL akiwa Mufundi alisema, kuna haja gani kujenga Daraja la kupita juu ya Maji Dar Kwa Mabilioni wkt Huku Kwa wazalishaji, Barabara ni Mbovu hivi??Kimsingi Daraja lile ni just Luxury. Kuna mifano mingi ya namna hii. So ni upotoshaji kusema TL anapinga Ujenzi wa Miundombinu, anachosema ataprioritize kitu ambacho sasa hivi hakipo. Ni kikundi cha watu wachache wanaamua na kutekeleza miradi mikubwa kihuni Kwa gharama za wananchi walio wengi.

Ili umwelewe TL, jitahidi kusikiliza na kuelewa speech nzima za TL. Usisikilize vipandevipande vinavyopostiwa na akina Steve Nyerere na Pierre.
 
Nilichofurahi kwenye huu uzi wako.. ni ww kukubali 'mafuriko ya Lissu'.... Sasa zile hoja kuwa hapati watu umezifuta... Sasa bado hujaanza kupangua hoja
 
Hata hujui sera Ni Nini ndio maana hata Lisu hajui anadhani hivyo vitu vitatu Ni sera!!! Hiyo sio sera ni kauli mbiu ya Chadema!!!

Mgombea wenu hamkumwandaa kunadi sera kabeba kauli mbiu anadhani ndio sera!!!
Si ndo ufurahie sasa mbona unapanic tena??
 
Nilichofurahi kwenye huu uzi wako.. ni ww kukubali 'mafuriko ya Lissu'.... Sasa zile hoja kuwa hapati watu umezifuta... Sasa bado hujaanza kupangua hoja
Mafuriko yanategemea ukubwa wa kiwanja ukichukua Cha watu kumi wakijaa full ni mafuriko pia!!! Au hujui Hilo.Lisu hajajaza stadiums!!!
 
Watu wanafurika kusikiliza sera yeye hatumii hiyo opportunity kunadi sera anapoteza opportunity ok sio issue Shauri yake yake tukutane October 28 sanduku la kura
Hahaha kumbe mnayaona mafuriko?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bro shikamoo, twende na Lissu
 

Kwani kwako sera nini? Tangu 1977 CCM inasemasema sera zile zile, wewe hapo ulipo zimekusaidia nini? Zimeinua hali ya ndugu zako? Mbona ukoo wako wengi mko hoi? Unataka sera zaidi ya zile za CCM ili ikusadie nini?

Tafute kufanya objective critism siyo huu ujinga ujinga mliozowea kuandika. Hizi Si zama zile.

Lissu anawahenyesha na hamlali. Wizi wenu wa nusu Karne unakaribia mwiaho.

Bado mwezi na ushee tu ushenzi mnachomolewa.

Anzeni kujizoesha tu kiakili.
 

I believe Chadema lacks a purposeful elites. I don’t mean that the Tanzanian elites don't have a purpose for its existence. Unlike elites everywhere, Chadema’s top dogs are interested in their own self-preservation. Something very wrong with that. Chademas' leadership self-preservation isn’t a national interest or a noble purpose.

I will reiterate here that no people, state, country, or civilisation has ever become great without a great and purposeful elites.

Unlike Chadema and Tobo Lissu, CCM purposeful elites define the national interest and then forges the people’s zeitgeist to that end.

There has to be convergence between the interests of the elites and those of the nation. Dissonance and divergence between the two creates infertility in all aspects of national life.
 
Nimesoma nae Galanosi, nimekua nae JKT Mafinga akiwa Eagle coy, mkewe akiwa A coy, nimesoma naye UDSM ! I know him and his personal characters more than what you think ! Kwenye top govt seat hafai !
 
Huwezi kunadi sera Bila kueleza mapungufu ya mshindani wako
Kama unazijua sera zako ( hii itatengeama kama unazo sera ama umejaza upupu), unahitaji kuzifafanua tu. Katika ufafanuzi huo huo wale unaowanadia sera zako ndiyo watagundua kuwa mpizani wako anamapungufu ama la. Kama unazo sera hauhitaji kuzusha uongo kwa mshindani wako.
 
You have presented the facts !!
Its unfortunate pro Chadema are shying away from critical issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…