Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hii nini unaropoka kama mtoto bhana
👇
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbo amewekwa hapo kutumika km toilet paper kupitisha ufisadi wa lile kundi la wahuni wa Ccm
Hapa tunaona upinzani ambao uko inconsistent na opportunist.Hii nini unaropoka kama mtoto bhana
[emoji116]View attachment 2703156
Na msiba nao hawa watu umewachanganya?Hii nini unaropoka kama mtoto bhana
👇View attachment 2703156
Mwambieji Lissu aende Chato akamfufue. Ila ajuwe akimfufua siku ya pili anarudi Ubelgiji.Hii nini unaropoka kama mtoto bhana
👇View attachment 2703156
Pointi ya Kwenda Chati naona hukumwelewa Lissu au unakurupuka tu.Hapa tunaona upinzani ambao uko inconsistent na opportunist.
I am sorry.
Magufuli ndiye katuletea haya madudu ya kuwa na bunge la upande mmoja, la kununua wapinzani, la kukata majina ya watu machachari.
Yeye ndiye aliyefanya bunge dhaifu lisilo na upinzani liwepo na kupitisha IGA.
Sasa leo CHADEMA wanaenda Chato kujipendekeza nini?
Do they want to ride on the coattails of Magufulis popularity and a simple narrative?
I am sorry, I never thought I would side with Dr. Mkumbo.
Lakini kwenye unafiki huu, Dr. Mkumbo is right.
CHADEMA wamekosa msimamo.
Halafu, tuondokeni kwenye hizi siasa za kuangalia watu jamani, tujikite kwenye sera.
Kioa siku the same bullshit ya kuangalia majina ya watu tu na kutafuta kiki mpaka lini?
CHADEMA hapa wanatafuta kiki ya Magufuli tu.
Lissu Mtu wa Mungu hana kinyongo.Mwambieji Lissu aende Chato akamfufue. Ila ajuwe akimfufua siku ya pili anarudi Ubelgiji.
Magufuli alitaka kumfuta Lissu kabisa mara ya 2 baada ya uchaguzi wa 2020 ndipo TISS wakamtonya akakimbilia ubalozi wa Germany.
Kama leo anatoa kauli hizi kwa Samia basi naamini kwa đź’Ż % wale wanaosema Lissu ni mwezi mchanga. Akili siyo zake
Ila magu alikuwa haeleweki. Kama ni kitu kinampa maslahi yake au chama chake angefanyaPamoja na ukatili wake kwa wanaompinga kwa hoja wakati wa utawala wake, JPM asingethubutu kutuingiza kwenye uchafu huu, aliipenda Tanganyika vibaya mno na ndiyo sababu alivunja mikataba ya hovyo hovyo na ndiyo maana tuna makesi kibao mahakama za kimataifa.
Lissu upo sahihi, nenda kawajuze na wanachato kwamba JPM hahusiki na uchafu huu wa kuuzwaji wa Bandari zetu kwa mkataba wa milele.
huyu ni toilet paper au taulo za wanawakeHii nini unaropoka kama mtoto bhana
👇View attachment 2703156
Hilo Bunge lisilo na upinzani lililopitisha IGA bila kuijadili kwa kina aliyeliweka hapo nani?Lissu Mtu wa Mungu hana kinyongo.
Lissu yuko wazi kuwa Magufuli alikuwa Mwovu sawa ila kwa hili la Bandari hahusikim
Nini ambacho hamwelewi?
ni kweli alikuwa na mapungufu kibao, hata uchafuzi wa chaguzi zote wakati wa utawala wake aliibuka kinara, ila kwenye masuala ya maslahi ya kitaifa hasa kwenye mikataba aliwabana vilivyo wawekezaji - nakumbuka neno la win win situation.Ila magu alikuwa haeleweki. Kama ni kitu kinampa maslahi yake au chama chake angefanya
Na inasemekana mgombea Ubunge wa Chadema kura zilitosha!Pointi ya Kwenda Chati naona hukumwelewa Lissu au unakurupuka tu.
Chato Lissu alienda kufanya Kampeni na akapokelewa kwa kishindo. Nini kinamzuia leo asiende?
Kumkumbuka leo kutokana na yanayoendelea ni jambo jemaHii nini unaropoka kama mtoto bhana
👇View attachment 2703156