Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Magufuli ana madudu yake mengi sana ikiwemo kuharibu maswala mazima ya utawala wa Sheria.Hilo Bunge lisilo na upinzani lililopitisha IGA bila kuijadili kwa kina aliyeliweka hapo nani?
Au mshasahu mlivyokuwa mnalalamika uchaguzi haukuwa fair?
Aliyenunua wapinzani na kukata majina ya wana CCM machachari nani?
Acheni kujimbonjisha. Magufuli ana lawama katika madudu yanayoendelea leo, na mkianza kumsafisha wapinzani, kwa sababu za kisiasa mpate kiki, nitawaona ovyo sana.
Kwa Tanzania hii ambayo hata wapinzani wakiwemo Bungeni hamna impact yoyote maana idadi yao inakuwa ndogo kuliko wa CCM na mwishowe mambo yanapitishwa.Kwenye hali kam hiyo ni utashi tu wa kiongozi aliyopo ndio unaokoa.
Chukulia mfano mikataba ya Madini baada ya timbwili la Magufuli at least kwenye Madini sasa hivi tunapata atleast tunapata 800-900 Billion kutoka kwenye 250B.