Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

Watanganyika ni wajinga ndio maana miaka 62 ya uhuru bado hatuna katiba unaotokana mawazo na maono yetu wala tume huru ya uchaguzi

Mnataka Lissu afanye nini? Ni kweli Magufuli alitaka kumfuta sasa wewe unataka Lissu afanye nini? Lissu amesamehe miacheni Lissu aise

Ww kama inakuuma Lissu kimsamehe Pombe jitu tapeli na muongo, basi jiondoe uhai wako, watu kama Lissu ndio taifa linawahitaji sio wewe
 
Watanzania wengi hamuwezi kufanya siasa za kidhahania zinazoangalia sera na hoja bila kuangalia watu?

Mtu ambaye kaendesha nchi kwa mabavu, kalifubaza bunge, kaua upinzani bungeni, kakata majina ya watu machachari, mpaka tumekuwa na bunge dhaifu lililokosa upinzani na kupitisha IGA.

Leo wapinzani waliomsema sana wanaenda kumshobokea mtu huyo huyo?

How come?
 
Hapa tunaona upinzani ambao uko inconsistent na opportunist.

I am sorry.

Magufuli ndiye katuletea haya madudu ya kuwa na bunge la upande mmoja, la kununua wapinzani, la kukata majina ya watu machachari.

Yeye ndiye aliyefanya bunge dhaifu lisilo na upinzani liwepo na kupitisha IGA.

Sasa leo CHADEMA wanaenda Chato kujipendekeza nini?

Do they want to ride on the coattails of Magufuli's popularity and a simple narrative?

I am sorry, I never thought I would side with Dr. Mkumbo.

Mimi simkubali Samia, siikubali CCM.

Lakini kwenye kuanika unafiki huu, Dr. Mkumbo is right.

CHADEMA wamekosa msimamo.

Halafu, tuondokeni kwenye hizi siasa za kuangalia watu jamani, tujikite kwenye sera.

Kila siku the same bullshit ya kuangalia majina ya watu tu na kutafuta kiki mpaka lini?

CHADEMA hapa wanatafuta kiki ya Magufuli tu.
go and read again, hujamwelewa lissu.
 
Mwambieji Lissu aende Chato akamfufue. Ila ajuwe akimfufua siku ya pili anarudi Ubelgiji.

Magufuli alitaka kumfuta Lissu kabisa mara ya 2 baada ya uchaguzi wa 2020 ndipo TISS wakamtonya akakimbilia ubalozi wa Germany.

Kama leo anatoa kauli hizi kwa Samia basi naamini kwa 💯 % wale wanaosema Lissu ni mwezi mchanga. Akili siyo zake
Kamanda mstaafu umevurugwa,

Kwa Lissu haupo, CDM haupo, CCCM haupo, Kwa wazalendo haupo!!!
 
KM CCM Kitila Yule DG wa TCCIA wote wana kitengo lakini wamejitoa akili kuuza nchi tofauti na kiapo chao aibu sanaa....kwa kiapo kile bora ukose cheo ubakie na heshima kulinda kiapo chako
Nchi imeuzwaje em mtusaidie na sisi tujue.
 
Mwambieji Lissu aende Chato akamfufue. Ila ajuwe akimfufua siku ya pili anarudi Ubelgiji.

Magufuli alitaka kumfuta Lissu kabisa mara ya 2 baada ya uchaguzi wa 2020 ndipo TISS wakamtonya akakimbilia ubalozi wa Germany.

Kama leo anatoa kauli hizi kwa Samia basi naamini kwa 💯 % wale wanaosema Lissu ni mwezi mchanga. Akili siyo zake
Rais Samia alisema hakuna askari wa Kitanzania anayeweza kupiga risasi 33 alafu akamkosa mtu. Wewe mpambe wa genge la Msoga unaleta uongo wa Kishoga
 
Kumsifia kwa lipi ?

Kuua Demokrasia au Kutokuuza / Kutetea mali za UMMA ?

By the way kusifia au vinginevyo si ni Haki ya mtu Binafsi ?
 
Alisema lakini "TUTAMKUMBUKA" Nani alijua TUTAMKUMBUKA kwa lipi? Aliongeza hakutuacha gizani "KWA MEMA NA SI MABAYA" alifahamu kitu ndani yake ndani ya chama chake na wanaomzunguka kuwa akiondoka watakuwa na kiu ya matendo yao nao watatugeuza asusa nasi TUTAMKUMBUKA!
Well said 👍👍
 
Hapa tunaona upinzani ambao uko inconsistent na opportunist.

I am sorry.

Magufuli ndiye katuletea haya madudu ya kuwa na bunge la upande mmoja, la kununua wapinzani, la kukata majina ya watu machachari.

Yeye ndiye aliyefanya bunge dhaifu lisilo na upinzani liwepo na kupitisha IGA.

Sasa leo CHADEMA wanaenda Chato kujipendekeza nini?

Do they want to ride on the coattails of Magufuli's popularity and a simple narrative?

I am sorry, I never thought I would side with Dr. Mkumbo.

Mimi simkubali Samia, siikubali CCM.

Lakini kwenye kuanika unafiki huu, Dr. Mkumbo is right.

CHADEMA wamekosa msimamo.

Halafu, tuondokeni kwenye hizi siasa za kuangalia watu jamani, tujikite kwenye sera.

Kila siku the same bullshit ya kuangalia majina ya watu tu na kutafuta kiki mpaka lini?

CHADEMA hapa wanatafuta kiki ya Magufuli tu.
Hatuna upinzani wa maana lakini kwa hili nawaunga mkono. Kuna mazuri mengi ya Magufuli, si mbaya CDM wakayasema.
 
Lissu Mtu wa Mungu hana kinyongo.

Lissu yuko wazi kuwa Magufuli alikuwa Mwovu sawa ila kwa hili la Bandari hahusikim

Nini ambacho hamwelewi?
Nashangaa. Wanataka amlamu hata kwa jambo ambalo hastahisi. Tena Lissu ameonyesha ukomavu mkubwa. Anaonyesha kabisa kuwa anasifu panapostahili na kulaumu panapostahili. Kitila anasimamia wapi?
 
CHADEMA wanaji contradict.

For political expediency.
No! Lissu yupo sahihi kabisa. Kitila ndiye anaji-contradict for political and personal gain. Lissu amasema Magufuli pamoja na mabaya yake yote, hili la bandari asingeruhusu. Hili ni kweli kabisa. Hilo la Magufuli kuharibu uchaguzi lipo na Lissu anasema kila siku. Ila kuharibu uchaguzi hakuwezi kumfanya aseme uongo kuhusu hili la bandari. Badala yake Kitila ndiyo ameonyesha udhaifu wa kumsifu Magufuli alipokuwa hai na kwenda kinyume naye alipofariki.
 
Upinzani unataka kusafiria nyota ya Magufuli tu hapa.

Umeshindwa kufanya siasa za principle, unataka kufanya siasa za expediency.
Kuna mwanasiasa anayesema mabaya ya Magufuli kama Lissu? Kusema ukweli kuhusu msimamo wa Magufuli kwenye bandari ndiyo kushindwa kufuata principle?
 
No! Lissu yupo sahihi kabisa. Kitila ndiye anaji-contradict for political and personal gain. Lissu amasema Magufuli pamoja na mabaya yake yote, hili la bandari asingeruhusu. Hili ni kweli kabisa. Hilo la Magufuli kuharibu uchaguzi lipo na Lissu anasema kila siku. Ila kuharibu uchaguzi hakuwezi kumfanya aseme uongo kuhusu hili la bandari. Badala yake Kitila ndiyo ameonyesha udhaifu wa kumsifu Magufuli alipokuwa hai na kwenda kinyume naye alipofariki.
Mbona Magufuli hata baada ya kufa bunge lake la kukata watu na kununua wapinzani, kuua upinzani bungeni ndilo lililopitisha IGA?

Wewe unafikiri kungekuwa na bunge lenye upinzani mkubwa IGA ingepita bungeni?

Magufuli kaharibu nchi hii mpaka baada ya kufa hatujamaliza effects za ushenzi wake, halafu Lissu anamu whitewash Magufuli leo?

Huu ni ujinga kabisa.

CHADEMA wanataka kusafiria nyota ya Magufuki na kutupa siasa fubavu za Sukuma Gang vs Chawa wa Mama.

Wakati wote wawili hao ni wakewale tu.

Lissu anamu whitewash Magufuli?

Sikutegemea kabisa ujinga huu.
 
Kuna mwanasiasa anayesema mabaya ya Magufuli kama Lissu? Kusema ukweli kuhusu msimamo wa Magufuli kwenye bandari ndiyo kushindwa kufuata principle?
Kuna mstari wa moja kwa moja kati ya utawala wa Magufuli kuharibu chaguzi za bunge, kukata watu, kununua wapinzani, kutupa bunge dhaifu, na mkataba wa IGA kupita kirahisi bungeni.

Magufuli hata baada ya kufa madhara yake bado yanaonekana.

Magufuli ana lawama kubwa sana katika mkataba huu kupita, hata kama kafa.

Kwa nini mnalifungia macho hili?
 
Back
Top Bottom