Hii nini unaropoka kama mtoto bhana
[emoji116]View attachment 2703156
Watanzania wengi hamuwezi kufanya siasa za kidhahania zinazoangalia sera na hoja bila kuangalia watu?
Mtu ambaye kaendesha nchi kwa mabavu, kalifubaza bunge, kaua upinzani bungeni, kakata majina ya watu machachari, mpaka tumekuwa na bunge dhaifu lililokosa upinzani na kupitisha IGA.
Leo wapinzani waliomsema sana wanaenda kumshobokea mtu huyo huyo?
How come?
Hivi kulikuwa na ulazima wa Lissu “kumtakasa” Magufuli ili hoja yake dhidi ya hujuma za CCM (awamu ya sita) ieleweke? Naona kama Lissu amejipagawisha kupita kiasi katika hili. Ni zaidi ya mhemuko. Amevuka mstari.Pamoja na ukatili wake kwa wanaompinga kwa hoja wakati wa utawala wake, JPM asingethubutu kutuingiza kwenye uchafu huu, aliipenda Tanganyika vibaya mno na ndiyo sababu alivunja mikataba ya hovyo hovyo na ndiyo maana tuna makesi kibao mahakama za kimataifa.
Lissu upo sahihi, nenda kawajuze na zwanachato kwamba JPM hahusiki na uchafu huu wa kuuzwaji wa Bandari zetu kwa mwarabu afu kwa mkataba wa milele.
Tatamkumbuka kwa kukataa katiba mpiyaAlisema lakini "TUTAMKUMBUKA" Nani alijua TUTAMKUMBUKA kwa lipi? Aliongeza hakutuacha gizani "KWA MEMA NA SI MABAYA" alifahamu kitu ndani yake ndani ya chama chake na wanaomzunguka kuwa akiondoka watakuwa na kiu ya matendo yao nao watatugeuza asusa nasi TUTAMKUMBUKA!