Kitila Mkumbo: Mkataba wa Bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City

Huyu mbwa asichokonoe hasira zetu, atulie na upumbavu wake
 
Ina maana mambo tayari huko, lini wanaanza kazi?
 
Safi sana, inamaanisha mambo tayari huko, lini wanaanza kazi.

Tunataka kusherehekea rasmi.
 

Ripoti ya CAG: Mkataba wa Mlimani City na Chuo Kikuu cha UDSM ni wizi mtupu.​

 
Mkataba WA Mlimani City unakikomo cha Miaka.. asitufanye Sisi Ni mazuzu[emoji3172]β€πŸ¦½
 
Profesa WA makopo ya Vyoo Vya Shule za Primary za Kayumba labda..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
🀝
 

Attachments

  • 843DC4D3-0973-4707-99BF-3B8A563CF104.jpeg
    83.5 KB · Views: 3
Kitila ni moja wa maprofesa wapumbavu kuwahi kutokea nchini
 
So kama unafanana? Hawa watu hawa!!
 
Pumbaavu kabisaa huyu Ng'ombe!! (Intang'ana!)

A piece of shit!....

Mwanataaluma/mwanaharakati yeyote yule....akisha-kuingia kwenye siasa tu!...

Habari yake imeisha! Kwishaa!, Kwishaa habari yake....

Na kashahongwa na uwaziri wa uwekezaji....tulitegemea aongee nini!?

Ni mara mia angekaa kimya...afiche upumbavu! Wake!....

Inasikitisha saana...hii ndio aina ya wasomi maprofesa tulionao kweli!?......So sad!!😒
 
nadhani Kitila yuko upande wa wazalendo wanaopinga uwekezaji huu usiofaa. kwa vile amepewa ofisi na serikali, na hataki kuiacha, ameamua kufikisha ujumbe in indirect way.

kwamba DPW watatupiga kama tunavyopigwa mkataba wa mlimani city.


JESUS IS LORD
 
mlimani city ilikuwa na span ya 50 years. vipi kuhusu dp world? miaka mingapi?
 
Basi kumbe ni kweli unafanana! Yawezekana mimi ndio nimemwelewa vizuri Prof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…