Kitimoto kupatikana Zanzibar ni ishara ya uvumulivu

Karibu tena mkuu! Mzigo tunachukua kwa masista wa Katoliki, sometimes Dar! Kama kuna mtu anamzigo tuongee biashara pia #0717147161 wanasema Tanga kuna bandarini bubu pia
Mnapatikana wapi mkuu?
 
Walaji ni hao hao unaosema wana uvumilivu na ndio maana hata ikifika ule mwezi wao huku bara mauzo ya mdudu yanashuka sana, biashara inakua mbaya.
 
Mikono ya mwanadamu wala vinywa vyao haviwezi KAMWE kuwa vitakatifu zaidi ya aliye umba huyo nguruwe. Unataka kusema mikono iliyo umba ilijitia unajisi?
Japo nguruwe ni mboga ila hii sio hoja. Mbona huli binadamu? Si kaumbwa pia na mtakatifu?
 
Karibu tena mkuu! Mzigo tunachukua kwa masista wa Katoliki, sometimes Dar! Kama kuna mtu anamzigo tuongee biashara pia #0717147161 wanasema Tanga kuna bandarini bubu pia
Mnapatikana wapi mkuu?
 
Kheee...!!! Sasa kuna vingapi watu hawali na wengine wanakula? Iwe kwa sababu za kidini, kiafya, kimtazamo etc kama wewe huli na wengine wanakula karibu na wewe ulipo, haina maana ya uvumilivu..! Wanaokula punda na huku wengine hatuli, inamaana sisi ni wavumilivu? Je wenye maghorofa na wengine tusionayo, inamaana sisi tusio na maghorofa ni wavumilivu? Acheni kuleta mitazamo ya kidini kwenye kila jambo..!! Vipi kitendo cha wao kuwa waislamu na wengine wakristo au imani nyingine, nani ana uvumilivu hapo kwamba mtu wa imani nyingine yupo naye karibu?
 
Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano WA Tanzania na sio nchi ya kiislamu,kitimoto kuuzwa Zanzibar sio hisani ni kawaida
 
Hivyo analiwa sababu si najisi.
Hujawahi sikia binadamu wanaokula bimadamu? Kwa sasa haliwi kwa sababu ni sawa na kujila wewe mwenyewe, kumaliza kizazi chako na ni kinyume na sheria. Sasa kwa nguruwe ipoje?
 
Wakati wa mfungo

Makahaba hupungua
Vibaka hupungua
Wanywa pombe hupungua
Majambazi hupungua
Matusi hupungua
Wala kitimoto hupungua

Ukiwagusa utasikia una bahati niko kwenye mfungo
 
sasa nani anamvumilia mwenzake hapo wakati kipindi cha mfungo kitimoto nchi nzima huwa inapungua soko?
 
sasa nani anamvumilia mwenzake hapo wakati kipindi cha mfungo kitimoto nchi nzima huwa inapungua soko?
Pengine kuna Wakristo wanaojumuika na ndugu zao wa Kiislamu kufunga wakati wa mfungo.
 
Zanzibar kilo ni bei gani, nataka kujua ili niwe naagiza huko.
 
Hujawahi sikia binadamu wanaokula bimadamu? Kwa sasa haliwi kwa sababu ni sawa na kujila wewe mwenyewe, kumaliza kizazi chako na ni kinyume na sheria. Sasa kwa nguruwe ipoje?
Nje ya sheria na kizazi ni sawa kumtafuna binadamu si ndio unachomaanisha?
 
Watu wengu udhani nguruwe ndio dhambi kubwa katika uisilamu

Nakutajia baadhi ya madhambi makubwa kwenye uisilamu yalioko Zanzibar tena madhambi haya wanatoa mtu katika imani ya uisilamu

1 kutoswali swala 5 wengi wao hawaswali akili zao ziko kwenye mpila na viama

2 kurawitiana baadhi yao

3 kuna mabeki ya nmb yanatoa na kupokea riba

4 kuna mahoteli ya kitalii ndani yake kuna pombe kamali mashoga ufusika wa kila aina

5 kila uchaguzi wanauwawa watu wasio kuwa na atia

6 kuna ubaguzi kati ya Wapemba na waunguja pia kuna ubaguzi kati ya wazazibar na Wabara ingawa wote ni waisilamu

Haya ni baadhi ya madhambi makubwa yalioko huko nguruwe nayo ndhambi lakini utoswali swala 5 nidhambi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…