Kitimoto kupatikana Zanzibar ni ishara ya uvumulivu

Kipo kweli kitimoto huko zenji hebu rudia kipoo .nakuja zenji chap
 
Kipo kweli kitimoto huko zenji hebu rudia kipoo .nakuja zenji chap
Mkuu sipo Zenji kwa sasa. Lakini nilipokuwa huko, nilijithibtishia kwa macho yangu na kinywa changu kuwa kipo, pale kwa BI JANETH.

Na taarifa zilizopo ni kuwa kuna hoteli nyingi za kitalii zinazouza, tena bila kificho.

Kama unataka kwenda, nenda tu mkuu, hutalala njaa.
 
Na Shirki

Umeongea mambo ya msingi sana
 
Bila picha huu Uzi ni batili..
 
Kitimoto kimechangia sana kuimarisha muungano, suala la uvumilivu wa imani linakuja baadae.
 
Mwaka 1993 nilikaa lodge moja karibu na viwanja vya golf, wakati huo pombe inapatikana golf na Bwawani hotel pekee,nilichoshuhudia pale ni mashoga wengi wakiwa huru kabisa,ila ukitaka changu unaunganishwa na shoga maana wao hawaruhusiwi.
 
Kafiri atabaki kuwa Kafiri tu haijalishi kama unafanya nae kazi haijalishi unaishi nae atabaki kuwa Kafiri tu.
NDIO UNAFIKI WENU WAISLAM HUO

Ninyi ni "Chichidodo" The Bird that feeds on magot yet hate the feaces

Chichodo ni ndege anayekula funza wa kwny mavi lakini anajifanya kuchukia kinyesi

Ni Ndege Mnafiki.
 
NDIO UNAFIKI WENU WAISLAM HUO

Ninyi ni "Chichidodo" The Bird that feeds on magot yet hate the feaces

Chichodo ni ndege anayekula funza wa kwny mavi lakini anajifanya kuchukia kinyesi

Ni Ndege Mnafiki.
Hata iweje wewe utabaki kuwa Kafiri tu mpaka usilimu
 

Wacha kupakazia Darajani wapi, Zanzibar kuna gesti ?? hata Darajani unapajuwa ni wapi ??
 
Huyo bi Janeth mwenyewe ni hakimu, ni maeneo ya mbweni, hapo unapata kiti moto na bia na gesti bubu.

Wazanzibar wanamuogopa wanajuwa ukigusa anga zake anakufunga mwenyewe.

Ukitaka kuwa juwa vizuri Wazanzibar nenda sehemu za starehe SAA 8 usiku ndio utashuhudia hijab zimeshavuliwa sasa warembo wana vimini tu.

Note; ukienda kwenye madisco yao SAA 4 usiku au SAA tano usiku huwezi kujuwa kama hizo sehemu huwa zinajaza, wewe nenda kuanzia SAA 6 usiku ili uujuwe upande wa Pili wa Wazanzibar usioujuwa.
 
Wacha kupakazia Darajani wapi, Zanzibar kuna gesti ?? hata Darajani unapajuwa ni wapi ??
Gesti zipo na bar za pombe zimejaa tele uwanja wa amani pembeni kwenye fremu za Ccm.

Mabwalo ya Jeshi kote kunauzwa pombe, Gymkhana, BOT na kule mbweni kuna bar za kutosha tu.

Sehemu ambazo Nina uhakika huwezi kukuta bar wala gesti ni kwa Maalim Seif Sharrif Hamad, hilo eneo wakazi wake almost ni wapemba wa kutoka Pemba.
 

Mzee wa Phd , Dr Matola , Darajani , Zanzibar kuna gesti ??
 

Mzee wa Phd , Dr Matola , Darajani , Jifundishe kujibu swali

Darajani, Zanzibar kuna gesti ??
 
Huijuhi zenj wewe! Fika kipindi cha mfungo wa ramadhani, uone balaa, nunua maji harafu uyanywe hadharani, utaomba Mungu aitoe roho yako!unaweza ukashambuliwa hata na mapanga,
Kipindi cha mfungo, hata boti za kwenda zenj, haziuzi vinywaji, ndani,cafeteria zinafungwa! Kama vile wote waliopanda ni islam! Hapo uvumilivu upo wapi!
Ukiwa, kule unajengewa mazingira huwezi kula, na, uone vibaya kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…