KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

mimi wala hata sili...ila nakuonea huruma nyumba yako yote wanakula wewe tu.


nashindwa kuelewa kusema ukweli hawa watt wamefundishwa na nn !wanaweza kaa wakamwambia baba tunataka kitimoto!jaman wanakula kilo nzima !moto unachefuka najifungia room! mie ni mpenzi wa mbuzi jaman !yaan ukianimbia hta saa 12 jion nije town tule mbuzi kwakweli huwa natoka baruuuu hahaha
 
Mdudu wa zip unamla hadi unalia, unashindwaje kula hiyo nyama? Kuna kiumbe kibaya zaidi ya hicho cha zip?
 
Kitimoto ni nyama ya taifa.
Acha kuidharirisha hii nyama na vitu vya kijinga

Yaani ufananishe kitimoto na taifa??
Hii ni nyama ta ki mabara sio kitaifa[emoji38] [emoji38]



Kipindi cha miaka ya nyuma kidogo enzi za ujana wangu ilinifanya nitende dhambi.


Nilimfumania mpenzi wangu msituni.

Alifanikiwa kunikimbia na huyo njemba, nikasema sitokaa niwe nae tena na wazazi wake na wangu ntawambia

Alichokifanya aliniomba nionane nae sokoni, si unajua enzi hizo masoko ni jioni. Nijasema ndio naenda kumwambia dhamira yangu

Bahati mbaya nikakuta ana kifurushi furani hivi cha majani ya mgomba akanikabidhi,

Mungu wangu!!!! Kitimoto haloooo habari iliyonilta ikaisha hapo hapo

Cha kushangaza ndio mke wangu mpaka leo, ametumia muda wake mwingi kujifunza pishi la kiumbe hiki kwa ajiri yangu.
 

Labda tu nikuweke sawa.

Eva ndiye alieumbwa kwa ajili ya Adamu..na SIO Adam kwaajili ya eva.

Mwanamke Ndiye kaumbwa kwaajili ya Mwanaume na sio Mwanaume kwaajili ya Mwanamke.

It is not two way. It is a straight one way. Thats it.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…