Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Nimemaliza kusoma huku nacheka..
Nikupe pole Dada.. Mimi kupigana Ki ukweli labda nyakati za utoto ambazo sina kumbukumbu.. Ila nilipoanza kupata akili na kujitambua naweza kusema kupigana ni kitu ambacho sijawahi kwanza mimi ni muoga mno...
 
Ahsante mdogo wangu nilikomeshwa mana nilikuwa na mwili hivi basi ukawa unanidanganya. πŸ˜…πŸ˜…

Ila hiyo ndio nzuri sababu kikawaida ugomvi wa kupigana hauna maana kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…