NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 595
Imekushinda au bado hujaanza...😆😆😆kunywa pombe aisee imenishinda kabisaa hii tabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekushinda au bado hujaanza...😆😆😆kunywa pombe aisee imenishinda kabisaa hii tabia
Mkuu na wewe bado?[emoji847]
Nitakupelekaaisee[emoji848][emoji848][emoji848] mi labda kunywa pombe na kwenda club ndo sijawahi
Ule wa maneno ulikuwa wa kawaida ila nyakati za nyuma sana.. Sasa hivi naukwepa kwa gharama yoyote ile.. Maana mimi ni mtu ambaye jambo dogo sana linaweza kunikosesha amani..Safi,ila ule wa maneno kawaida
😂😂🤣🤣😂Mi sijawahi azima simu ya mtu kutumia
Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.
Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. [emoji28][emoji28]
Jamani.. Na imekuwa vice versaSijawahi kuogelea. Lol
Si bora ufe asee make kutokunywa pombe duuuu....Pombe!, daah hii kitu bado aisee ila...!!!🤔
Ahsante mdogo wangu nilikomeshwa mana nilikuwa na mwili hivi basi ukawa unanidanganya. 😅😅Nimemaliza kusoma huku nacheka..
Nikupe pole Dada.. Mimi kupigana Ki ukweli labda nyakati za utoto ambazo sina kumbukumbu.. Ila nilipoanza kupata akili na kujitambua naweza kusema kupigana ni kitu ambacho sijawahi kwanza mimi ni muoga mno...