Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Hilo la umeme nimepanda sana daladala kwenda kununua buguruni au tazara. Kukwepa tu kukaa foleni huku nilipo.
 
Hilo la umeme nimepanda sana daladala kwenda kununua buguruni au tazara. Kukwepa tu kukaa foleni huku nilipo.
😃😃 ilikuwa inakera sana. .. hatuna budi kuiheshimu tech.. imagine foleni ya kununua,luku tu nilikuwa naona ni kama vile najitwisha mzigo. .. so vipi kuhusu kukaa foleni ya upigaji kura
 
Hata kwenda viwanja uchwara?
 
😂😂😂 Wewe ni kama mimi vyote hapo sijawahi fanya..!
Haha "eti ulibeba Dunia kichwani"
 
Kutumia Halotel+TTCL+Airtel
Kulewa (japo huwa nakunywa castle lite 3 tu)
Kuvaa visuruali kinakamata miguuni Kama za dada zetu
Kunyoa kiduku
Kuendesha Pikipiki (Sitaki hata kujua)
Kupiga Kura
Unieleze Jambo (useme iwe Siri) afu nimwambie mwingine!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…