hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😃😃my ribskupiga bao mbili non stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃my ribskupiga bao mbili non stop
Hilo la umeme nimepanda sana daladala kwenda kununua buguruni au tazara. Kukwepa tu kukaa foleni huku nilipo.😃😃😃sijawahi kushiriki huo mchakato kabisa
kwanza nilivyo mvivu wa kupanga foleni daah😃😃
enzi zakununua luku madirishani nilikuwa napata shida sana...ukienda pale kinondoni kwa mwanamboka unakutana na bonge la foleni watu wameenda kununua umeme haswaa ikiwa end of the month ndio kizaa zaa..😃😃 nilikuwaga Napata shida sana
Naomba ufunge PM😡weee bwana wee mashikoro mageni ayo
😃😃 ilikuwa inakera sana. .. hatuna budi kuiheshimu tech.. imagine foleni ya kununua,luku tu nilikuwa naona ni kama vile najitwisha mzigo. .. so vipi kuhusu kukaa foleni ya upigaji kuraHilo la umeme nimepanda sana daladala kwenda kununua buguruni au tazara. Kukwepa tu kukaa foleni huku nilipo.
Itakuwa huna 🐸Sijawahi kuvaa[emoji116]View attachment 1466870
Sina kwa sababu sipendi. Ningekuwa napenda ningenunua hata mia.Itakuwa huna 🐸
🏃
Hata nikilewa vipi sijawahi chelewa kuamka kwenda mishe
Hata kwenda viwanja uchwara?Sijawahi kusex na mwanaume na haitakuja kutokea,[emoji777]
Sijawahi kwenda kiwanja chochote cha mpira kushangilia japo rafiki zangu wengi ni wana michezo, [emoji2359]
Sijawahi kuomba mtu nisiyemjua pesa,[emoji724]
Sijawahi kukataliwa nikitongoza, [emoji23]
Kucha bandia ama chochote cha bandia mwilini kwangu, kubandika makope and the like
Kuvaa wigi, nilishawahi once sikurudia maana niliona kama nimebeba dunia kichwani
Kubeba ndoo kubwa ya maji, ni kitu cha kawaida kwa wanawake wengi ila me siwezi...naiona nzito
Kuepua sufuria jikoni bila mshikio ama cha kushikia
Jitahidi hata mara mojaSijawahi kabisa kutoa ‘Fungu la Kumi’.