Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kunywa kahawa za hawa vijana wa mitaani na kunywa juisi ya miwa
Kahawa nilifikiri huwa wanaweka sukari,kuna siku nimekaa kijiwe chao wakaniagizia,aisee ni chungu sijui wanawezaje
 
Back
Top Bottom