Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Sasa kichwa cha habari kinasema 'kupenda kitu cha ovyo'!

Kwa hiyo chakula kwako ni kitu cha ovyo?
 
Masterbation(punyeto).
Japo hiki siyo kitu cha hovyo.
 
Kuangalia mguu mweupe wenye kikuku.
Kutazama kiuno chenye shanga au cheni
 
Napenda kiporo cha chipsi ninywe na chai asubuhi, nakawaida nazinununua usiku nazilaza kwenye fridge asubuhi napasha nakula😅😅😅
Hiki kitu kweli ni cha ajabu. Na jana nimeshangaa sana ,nikiwa kariakoo napata breakfast mgahawa mmoja karibu nca China plaza nikaona mzee mmoja anakunywa chai na Chips. 😂😂.
Nikashangaa sana
 
Hiki kitu kweli ni cha ajabu. Na jana nimeshangaa sana ,nikiwa kariakoo napata breakfast mgahawa mmoja karibu nca China plaza nikaona mzee mmoja anakunywa chai na Chips. 😂😂.
Nikashangaa sana
😅😅😅😅
 
We sema hii kitu ilishafanya uliwe. Tena mara nyingi tuu. Teh teh teh teh
 
Hahahaha
Mandazi ni kitu cha ovyo...??
Acha kufananisha mandazi na vitu vya ovyo..
 
Njoo nikupikie
 
Ashua za nguku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…