Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Una uthibitisho gani?
1. Uthibitisho wa kwanza ni kuwa ngozi nyeusi imeumbwa kukabiliana na mazingira ya aina yoyote iwe joto au baridi so ipo kwa ajili ya dunia hii(Tumeumbwa na melanin ya kutosha tu). Hao jamaa wengne wanaweza kuishi kwenye baridi tu, kwenye joto wanateseka sana

2. .......................................
 
Umeandika takataka. Upuuzi mtupu.
 
Njoo Lushoto uone Albino walivyokuwa wazuri ,huku wana dili sana maana hawana madoa ,hamna jua kabisa ..Unakuta Albino safi wala hawavai kofia ,hali ya hewa ni safi .
Jamii forums inazidi kupoteza watu wenye akili za kuchambua na kujibu hoja.

Yaani mtoa mada amefafanua vizuri tu na comment uliyoiquote bado imejaribu kuingia ndani zaidi kuonesha kile mada inachotaka. Umekuja na hoja ya albino wa Tanga.

Kwani mtoa hoja anataka tujadili uzuri ama ubaya wa albino?
 
Umueelewa lakini ? uUsikurupuke huo ni utani fuatilia nilimquote na uache shobo siku nyingine...Lushoto ni kawaida kukuta baba na mama wanazaa albino wakiwa wao sio albino ,nimeongezea hapo wako wengi tena wazuri kutokana na mazingira ya kule ngozi yao haiwezi kuharibika na jua.

Fuatilia niliyemquote kwanza usikariri watu na uache mazoea ...Kama unataka ubishi niko tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…