Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Sizani kama kuna kipya..
Kama mtu ume kaa nae zaidi ya miaka mitatu katika uchumba...
Ndugu yangu tema mate chini.....mimi nina rafiki alikaa na mwanamke uchumba sugu miaka kumi lakini ndoa yao imedumu miezi miwili........kulala na kuamka na mwenzio sio jambo dogo.......ndio maana mkaambiwa kwa shida na raha....,
 
Hahahaha jaman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yeye ndo alipaswa kutukanwa sasa vip awe na mambo za kike
Mi nilienda moja kwa moja....
Na sms tamu tamu.
Nashangaa jamaa kapaniki. .😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na humu anatumia jina la kike kabisa na alisema anataka mtu kule kwenye love connect sijui😁😁😁

Nikakubali tuu kusema faza nisamehe mimi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bila shaka mtumishi wa Mungu wewe, yaani ulishindwa kurudisha
 
Ndugu yangu tema mate chini.....mimi nina rafiki alikaa na mwanamke uchumba sugu miaka kumi lakini ndoa yao imedumu miezi miwili........kulala na kuamka na mwenzio sio jambo dogo.......ndio maana mkaambiwa kwa shida na raha....,
Mkuu bado sijaona kipya..
Mtu umekaa nae miaka yote halafu aje abadilike kisa neno ndoa..

Impossible
 
Kwamba mwanaume anaweza kufunga mlango wa nyumba tunayoishi pamoja nisiingie eti sababu nimechelewa kurudi. Na kwamba anategemea akinifungia hivyo niende kulala kwa wazazi wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mi nilienda moja kwa moja....
Na sms tamu tamu.
Nashangaa jamaa kapaniki. .😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na humu anatumia jina la kike kabisa na alisema anataka mtu kule kwenye love connect sijui😁😁😁

Nikakubali tuu kusema faza nisamehe mimi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Yeye si mtoto wa kiume anajifanya jike......

Ungetakiwa umchumu.....mmwaaaaahhhh!!!!
 
Kwamba mwanaume anaweza kufunga mlango wa nyumba tunayoishi pamoja nisiingie eti sababu nimechelewa kurudi. Na kwamba anategemea akinifungia hivyo niende kulala kwa wazazi wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Atajua ajui huyo alaaaah...
Alafu mambo ya kufungiana milango utoto huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapana alikua ni mtata sana...
Kuna watu ukirudisha tu jua umenunua mazima..

Kwa yale matusi hata wewe nguvu ya kurudisha usingekuwa nayo
😁😁😁😁😁😁😁
🀣🀣🀣huo uzembe sasa bwan,, ulishindwa kupata ata moja la uhakika
 
Back
Top Bottom