Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Unaukizwa swali
Why unalala wakati mimi nakusimulia story au nakuboa?
Au story anakuambia ubuyu wa mtu ambaye umesahau wakati alikusimulia juzi anaaza kumind as if ni kitu muhimu, na mwisho wa story unaukizwa umeelew mume wangu mbona huuzuniki hahahah, jamani story yote hii unashangaa,
Kusahau Sehemu alipoweka simu yake nankuniambia naomba unipigie natafuta simu ila, ila kukumbuka msg za simu alizoziona kwangu za miaka Kenda huko nyuma+ na majibu nilyojibu kuhusu hizo msg.
[emoji16][emoji16]
 
Kumbe ndo uwenda ukawa mwanzo wa kukosana na ndugu, jamaa na hata wazazi hasa mama yako mzazi ksa mkeo.
 
Nilikuwa siwaamini wale wanaosema kuwa 'wanawake warembo sana huwa hawawekwi ndani' mpaka pale yaliponikuta.
Nilichoka sana
 
Back
Top Bottom