Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

na wewe na huyo mwenzako munatuvunjia heshima kweli kweli. Hivi hao watoto unaowaita 'watoto wangu' uliwachukulia mimba na kuhangaika wewe? Wewe si umejua kudeposit mbegu tu ukaishia huko!

Vile unavyopikiwa, kufuliwa nguo, pasi na nyumba yako kuwekwa katika hali ya usafi siyo mchango huo?

Ama kweli nyinyi hamuna shukurani hata kidogo.
Asante mama.....ndio maana nikasema nikae kimya.....
 
Back
Top Bottom